Habari JF,
Huwa najiuliza mbona siwaoni wakenya kwenye jukwaa la love connect.
Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect?
Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa Tanzania?
Na nyie...
Bei ya mafuta ya kupikia na viazi mviringo imeonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya maeneo ya Kenya kiasi cha wauza chakula, Chepchikoni Eateries kuondoa chipsi kati menu yao
Mmiliki wa Chepchikoni...
https://www.google.com/url?q=https://nairobinews.nation.africa/kenya-police-shootings-killings/&sa=U&ved=2ahUKEwiCxZTIre_2AhXsi_0HHaPMA4sQFnoECAMQAg&usg=AOvVaw0lFlba-qbNRx1bOMI1ShW9
Zaidi soma >...
A Mobius Model II car in Nairobi in 2019. PHOTO | NMG
Kenya’s only home-grown automaker, Mobius Motors, plans to ramp up production of its second-generation model with an eye on the regional...
Shirika la Habari la Deutsche Welle (DW) Limetoa taarifa ya ukame na tishio la njaa linaloikumba nchi ya Kenya. Katika taarifa hiyo, imeonyesha idadi kubwa ya Twiga waliokufa kwa sababu ya ukame...
JKIA, Moi airport rank best in Africa on customer service
ADONIJAH NDEGE
Summary
JKIA and MIA in Mombasa emerged top in the 2021 Best Airport by Size and Region in the 5-15 million...
Kenya is facing a difficult time of general election and difficult economy now as politics are getting critical each and every day.https://WeekendPayout.com/?userid=121552
Rais wa Kenya amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kile ambacho anadai kilipangwa kufanya na Makamu wake wa Rai, William Ruto, kusimamia mipango ya kumfanyia hujuma na kushitaki.
Kenyatta...
Taarifa zenye ukubwa wa TeraByte 2.9 zimevuja zikiwa na taarifa kuhusu utajiri wa watu mashughuri duniani wakiwemo marais waliostaafu na walioko madadrakani
Kwa nchi za Afrika taarifa za Rais wa...
MY TAKE: Hivi ukiacha nchi zenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, ni nchi gani tena hapa Afrika ambako watu wanakufa hovyo kiasi hiki?, Hivi ni vifo vya kizembe Sana, Kuna watu wajinga humu ndani...
Hey my fellow africans kenyans, today i was watching maumau documentary, the story was scary, but the documentary was very short and a lot of things are missing.
For anyone who knows the story...
Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
Naomba ufafanuzi kuhusu nafasi za kisiasa za ugavana, useneta na ubunge.
Kwa vigezo vifuatavyo.
Kiongozi yupi ni mkubwa kuliko wengine, magavana wapo wangapi nchi nzima, maseneta pia na wabunge.
Ndio umuhimu wa kuwa nchi yenye watu wenye akili kubwa, nchi yako inachaguliwa kwenye kila uwekezaji unaohitaji matumizi ya ubongo.
========
American tech firm Microsoft has opened a new Sh3...
Tanzania leads the other East African Community (EAC) partner states in attracting investments from the United States, the world’s largest economy.
This emerged during the signing of a Memorandum...