Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Baada ya kurejea Uganda,Wabunge zaidi ya 50 wa Uganda wamekutwa na Maambukizi vya Virusi hatari vya OMICRON. Wizara ya afya nchini Uganda ilisema kwamba,Wabunge hao walipimwa kabla ya kuondoka na...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Mama ameamua liwalo na liwe potelea mbali, mbwai na iwe mbwai, biashara ifanywe, wale walioaminishwa chuki (buku saba) raundi hii sijui watapasuka tu. Kila mtu ajitume, masoko yanaendelea...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
A 73-Year-Old man who fatally injuried his drunk son for rudely interrupting his sleep is in police custody. James Tarus was arrested moments after the 7pm incident last night at his home in...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Huu utaalam wenu kwenye ushrikina mkiufanyia kazi mnaweza kuanza kuuza nje kwa matajiri hadi nchi iondokane na huo umaskini uliokubuhu.....
1 Reactions
0 Replies
567 Views
MY TAKE; Never trust Kenyans, very selfish, man eat man mentality
4 Reactions
82 Replies
5K Views
The number of Kenyans earning more than Sh100,000 dropped to 79,909 last year, reflecting Kenya’s growing inequality in the formal sector and tax avoidance by the wealthy in the informal sector...
1 Reactions
11 Replies
918 Views
Krisimasi njema wanajukwaa, huu wimbo ndio mara yangu ya kwanza kuuskia, Phil Colins amesifia Afrika Mashariki halafu la kushangaza ni kama ulipotezewa haujatumika na taasisi zinazohuasiana na...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Following a claim by some sections from our neighbour that Nakuru Town beats Arusha city, it is time to iron out the facts out! Whereas Nakuru is still a town some people r trying to compare it...
6 Reactions
158 Replies
19K Views
Jumuiya ya wamiliki wa Baa, Hoteli na Maduka ya Vileo (BAHLITA) wamekubali muongozo wa serikali wa kutotoa huduma kwa wasiokuwa na uthibitisho kuwa wamepata chanjo BAHLITA walipokea ujumbe kutoka...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Kuna siku mzee fulani alinisimulia jinsi Nyerere alipambania sana Afrika Mashariki iwe nchi moja, ila viongozi wa Kenya wakasuasua na hatimaye wakapiga chini hilo wazo. Nikawaona viongozi wetu...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Na SHABAN MAKOKHA SHEREHE za kutuza mshindi wa kula boflo na kunywa soda jana ziliishia simanzi, baada ya mwanafunzi mmoja kunyongwa na mlo huo hadi kufa kwenye Shule ya msingi ya Sikura, Kaunti...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
JESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Thaara ambaye walikutana nae Facebook. Polisi wanasema...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
DRC ndani ya EAC: Nini maana yake? Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo wanatarajia kukubali Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kuwa mwanachama wake wa saba katika mojawapo...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Wazazi waliokuwa na hamaka walivamia shule ya msingi ya Gitithia eneo bunge la Lari wakitaka kukamatwa na kuzuiliwa kwa mwalimu aliyemtandika mwanafunzi ambaye baadaye aliaga dunia. Mwanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
https://www.the-star.co.ke/new...-ranked-95-in-democracy-index/ MY TAKE: Ukiacha GDP ya makaratasi ni kitu gani tena Kenya imeizidi Tanzania? Tony254 Don YF The best 007 Geza Ulole @
3 Reactions
16 Replies
725 Views
Mzuka wanajamvi! Yule Tapeli maarufu kutoka Nigeria alipata umaarufu kwa kugonga vichwa vya habari duniani kwa utapeli mitandaoni na kujipatia kiasi kikubwa cha mamilion ya dollars za kimarekani...
12 Reactions
56 Replies
8K Views
Mashini za kukagua miyonzi ya nyuklia zinaonyesha humo kuna kontena moja lenye sumu ya nyuklia, kulingana na sheria za kimataifa, Kenya inalazimika kuagiza meli irudi ilikotoka kule India, ila...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kenya remains a world-leading safari destination in 2021, according to the World Travel Awards. This marks the seventh time in a row that the country has been recognised as the premier wildlife...
3 Reactions
9 Replies
999 Views
http://opr.news/75762804211219sw_tz?link=1&client=news MY TAKE: Hii ndio njia sahihi ya kuleta umoja, upendo na mshikamano wa taifa, ila mlipaswa kuanza haya Mambo mwanzoni kabisa baada ya kupata...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Uwingi huu wasababisha bei ya mahindi kupanda gafla na wakulima kufurahia bei nzuri ya mahindi,
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…