Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Hili toto la Kizanzibari limefunika mbaya mno Kenya, kwa umaarufu huu msije mkamfanyia maushirikina kama Harmonize na kauli zenu za "Hauniwezi Kiserikali, Kipesa, Kishirikina na kama unabisha nipe...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Inawezekana isiwe rahisi kumeza, ila ndio ukwel wenyewe................. Kenya has unveiled a modern shipyard at the Mtongwe Navy base in Mombasa, making her the first country in sub-Saharan...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kampuni mpya ya Safaricom itakayoitwa Safaricom Ethiopia, itatumia nambari ya simu ya 07..... ambayo inatumika hapa Kenya. Kila la kheri kwa Safaricom wanapoanzisha kampuni ya pili ya mawasiliano...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Uongozi wa Nairobi National Park Kenya kuhamisha vifaru jike wawili Tanzania. Uzi tayari [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji125]
2 Reactions
1 Replies
895 Views
After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday. Queues were still long at the Nairobi Railways...
3 Reactions
0 Replies
795 Views
Hi, Members! Naomba kuifahamu historia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na nyazifa mbali mbali ktk Taifa la Kenya Mr George Saitoti! Thanks
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Eneo la kujengea meli linatarajiwa kuzinduliwa na rais Kenyatta huko Mombasa.
3 Reactions
3 Replies
834 Views
Rwandese authorities have approved the KCB Group deal to buy Banque Populaire du Rwanda (BPR) from London-listed financial services firm Atlas Mara Limited. Atlas Mara made regulatory disclosures...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Wazee wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga ambao walizuia ujenzi wa Barabara ya Afrika Mashariki inayopita kwenye kijiji chao mpaka wapewe kiasi cha shilingi milioni 21 ili waweze...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Naona mzee Mseveni kaona isiwe tabu ajibu mapigo baada ya Kenya kuzuia uingizaji wa mayai, kuku na maziwa toka Uganda. Jaman hii kitu naona ni shida sasa,mchi za EAC zinapaswa kuandaa mfumo mzuri...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Serikal ya Tz imekubali kuwapa Ke ndege aina ya cranes ambao Taifa ilo la Kenya waliomba kwa Tanzania.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
https://www.theguardian.com/global-development/2021/dec/08/how-nairobis-road-for-the-rich-resulted-in-thousands-of-homes-reduced-to-rubble Note: 1) 45% ya wakazi wa Nairobi hutembea kwa miguu kwa...
9 Reactions
88 Replies
5K Views
Aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kwamba atagombea urais katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo mwaka wa 2022. Alitoa tangazo hilo katika kongamano la Azimio la Umoja siku...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Final our new bird will start flying to KEN from TZ.
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Kati ya magonjwa ya aibu, mojawapo ni Kipindupindu. Kimsingi, mtu anayeugua Kipindupindu ni mtu aliyekula MAVI. Mazingira ya kula mavi yanaletelezwa na uchafu na kunya kunya hovyo! Ukitaka...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Well kwa huku kwetu kila moja anajivutia kamba kwake, nimeona tupate viewpoint kutoka kwa 254. Muungano haukuwa Takwa la nyerere bali takwa la nchi za kibepari kama uingereza wakihofia nchi za...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Naomba nionyeshe kukoshwa kwangu na muonekano wa Rais wa Kenya, Mhe Uhuru Muigai Kenyatta, wakati alipokuja kwa ziara ya kuitembelea Tanzania. Sina zaidi ya kusema ila kwa wale waliobahatika kuona...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Wenyeji wa Nakuru wanapinga County yao kuwa na status ya city. Sababu haina mfumo wa maji Safi ya Bomba wala mfumo wa maji taka
0 Reactions
1 Replies
536 Views
Huyu mama alikua mkurungenzi HP na eBay, halafu tena ni bilionea aliyetosheka, ateuliwa kuiwakilisha Marekani nchini Kenya kama balozi...... Teuzi kama hizi hudadavuliwa sana, nani aende wapi, sio...
1 Reactions
1 Replies
826 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…