Tanzania recently years it has been improve it's export to Kenya and other EAC due to have strong industrialization policy driven by her Excellence. Samia suluhu
How Kilimanjaro ended up in Tanzania
MONDAY JULY 15 2013
PHOTO | FILE The British gave up Mount Kilimanjaro to the German Tanganyika in exchange for the sultanate of Zanzibar which stretched...
Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini Kenya (KRA) imetangaza kuwa inaanza kuchunguza mwenendo wa maisha ya raia wa nchi hiyo kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali ili kubaini...
With huge cities and vibrant infrastructure Brazil is very organized and vibrant , Tz is 20 years behind , believe me am Tanzanian Brazilian living in Rio grande do SUL , Brazil
Yaani tuna desturi ya kuchapa kazi mwaka wote kisha tunajiachia msimu wa Krisimasi kwa raha zote, kula bata kwa kwenda mbele, ndio utamu wa kuwa kwenye nchi yenye uchumi bora na ya wachapa kazi...
POLISI mmoja mkazi wa Kangemi nchini Kenya amemuua mke wake na watu wengine watano wakiwemo majirani na waendesha bodaboda kwa kutumia bunduki aina ya AK 47 kabla ya kujiua mwenyewe kwa silaha...
Katika Kijiji cha Kaunda eneo la Navakholo kaunti ya Kakamega, Polisi Patrick Nyapara wa utawala amemuua mkewe, Christine Maonga (28) kwa kumpiga risasi mara tatu kichwani baada kuzozana kwa muda...
Sielewi mbona wajasiria mali Watanzania wanaokuja kununua hao viranga hawajifunzi, bado wanaendelea kuingia hasara, maana sidhani kama kuna Mkenya sasa hivi anayeweza kuruhusu kumuuzia Matnzania...
Polisi siku ya Jumatano walimkamata mgonjwa aliyemuua nesi kwa kumpiga risasi ya kichwa kwenye kituo cha afya cha Chiromo huko Westlands, Nairobi
Mgonjwa huyo aliyetambuliwa kwa jina la Joseph...
1st December 2021
President Uhuru Kenyatta grants Nakuru municipality City Status in a function attended by top leaders and government officials. This makes Nakuru the 4th City in Kenya after...
Kenya has announced stringent immigrations measures aimed stemming the spread of new Covid-19 variants into the country.
Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe says it will now be mandatory for...
Kamanda wa Polisi Kaunti ndogo ya Mashariki,Kenya Joseph Yakan alithibitisha kisa hicho, na kuongeza kuwa waumini wa Kanisa Katoliki la Mwingi walikuwa wakielekea harusini.
Katika video,jana...
Naomba msaada, mm nipo Tanzania nataka kwenda KENYA kwenye harakati za kusaka pesa kuangalia Kama naweza kutoboa. Sasa naomba kujua mwongozo/taratibu za kufata ili kwenda kuishi kule
Kuna kipindi tulifungua uzi kumhusu huyu jamaa, mataga kama kawaida yao wakatiiririka kutetea uamuzi wa yeye kufukuzwa Tanzania kisa ana majina ya Kikenya, ilhali babake na mama yake wote wazawa...
Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.
Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa...
Na Kelly Ogome
Kwa kipindi cha miaka minne iliyopita, mataifa ya Afrika Mashariki yameshuhudia mabadiliko makubwa katika uchumi na miundombinu. Haya ni kulingana na ripoti ya tathmini ya miradi...
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa...
Mzee Gideon Kisira Cherowo (73) Mkazi wa Birunda nchini Kenya amemfungulia kesi Mtoto wake aitwaye Washington Chepkombe akitaka akatwe asilimia 20 ya mshahara wake ili apewe Mzee huyo kwa ajili ya...