Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Indian-based JK White Cement has set up a manufacturing plant in Athi River to produce wall putty, plasters, and tile adhesives. The company's CEO, Amit Kothari, said they have been importing the...
4 Reactions
3 Replies
766 Views
Diplomats from Africa’s three representatives and that of the Caribbean at the UN Security Council are gathering in Nairobi to work on a common agenda as the continent faces three crucial crises...
3 Reactions
22 Replies
37K Views
MY TAKE Kama kawaida snitches kutoka Kunyaland wametu-backstab!
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Watu 15 wameripotiwa kufariki kwa #COVID19 siku ya Jumapili na kufanya idadi ya waliokufa kwa virusi vya corona kufikia 3775 Hadi sasa kenya imepima watu 2,053,912 ambapo watu 192,758 walikutwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Tanzania 2. Burundi 3. Rwanda 4. Sudani 5. Uganda 6. Kenya Ukibisha toa sababu zako...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hayawi hayawi huwa....sio kuongea ongea bila vitendo, kimsingi boresha miundo mbinu yako tu, wateja watakuja.... Tunaandaa mapokezi ya meli kutokea Zanzibar itakayopokeza kontena 63 kisha zipakiwe...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Ethiopia imepiga marufuku safari za anga katika angala lake juu ya bwana iinalojenga la Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) kwasababu za kiusalama, kulingana na tovuti inayomilikiwa na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Thomas Joseph Odhiambo Mboya (15 August 1930 – 5 July 1969) was a Kenyan trade unionist, educator, Pan-Africanist, author, independence activist, and statesman. He was one of the founding fathers...
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa...
16 Reactions
61 Replies
6K Views
Kagame anazidi kuonyesha Rwanda ndio giant wa kweli Afrika licha ya ukubwa wa nchi kuwa mithili ya mkoa, wanaopenda kujiita giants wanaendelea kukunja mikia kwa uwoga hata pamoja na kuchokozwa na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu zetu wa Kusini haya mambo yamewashinda kabisa, wameambulia vigodoro tu. Hehehe ======= Only three athletes to represent Tanzania at Tokyo Olympic games Tanzania will be represented by only...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni dhahiri hawa magaidi hawapaswi kuachiwa wachukue uongozi wa Msumbiji maana tumeshuhudia unyama wao, wamekua wakichinja wanavijiji kule Msumbiji na hata Tanzania tena bila huruma, wanachinja...
5 Reactions
59 Replies
5K Views
Msichana mwerevu ambaye alifanya vyema katika Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) yuko kwenye hatari ya kukosa nafasi ya kujiunga na shule ya upili kwa sababu ya kuwa zeruzeru. Winnie Jelimo, mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa siku 29 jamaa amezunguka kila kona ya Nchi, Mi nimeangalia hadi nusu bado naendelea, lakini imenitia motisha sana, pia mimi nataka kufanya hivi one of these days, Hua napenda sana kutembea...
14 Reactions
12 Replies
2K Views
Winshear Seeks C$124,781,945 in Damages from Tanzania July 15, 2021 13:37 ET | Source: Winshear Gold Corp. ... VANCOUVER, British Columbia, July 15, 2021 (GLOBE NEWSWIRE) -- Winshear...
2 Reactions
7 Replies
866 Views
Mahakama Kuu jijini Nairobi imeamuru kampuni ya mawasiliano ya Safaricom kumlipa mwanamume kipofu KSh 6 milioni kwa kukosa kumuajiri. Wilson Macharia alituzwa kima hicho cha pesa baada ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
John Ouko askari Polisi wa Kenya anatuhumiwa kumlawiti kijana wa miaka 20 ambaye alimkamata kwa kosa la kutovaa barakoa. Kijana huyo aliripoti katika kituo cha polisi cha Langas kuwa alikamatwa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
#Taarifabilamipaka Elizabeth Nalem mwenye umri wa miaka 41 ambaye ni afisa wa mji wa Makutano Pokot Magharibi nchini Kenya, amewashangaza wengi baada ya kutangaza kuwa amefunga ndoa na Roho...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma...
5 Reactions
70 Replies
5K Views
Wamekubali kusubiri kwanza tudundulize hela za kutosha Kenyan President Uhuru Kenyatta (Left) and Chinese President Xi Jinping prior to a bilateral meeting in Beijing, China in 2018. PSCU China...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Back
Top Bottom