New Lamu port set to host first transshipment cargo
THURSDAY JULY 15 2021
A ship docks at Lamu Port during the official launch by President Uhuru Kenyatta. FILE PHOTO | NMG
SUMMARY
The Lamu port...
Wasichana waliowahi kwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia wakitokea Kenya wamesema wanakuwa watumwa na hunyimwa haki zao za msingi za binaadamu.
Imesemekana kwamba wanachokifahamu...
Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi.
Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo...
MY TAKE: Hizi bullets trains zinakidhi mahitaji ya Tanzania kwasababu gharama zake ni wastani na zinaweza kusimama vituo vingi tofauti na KTX ambazo zinakimbia 350km/hr, hivyo kushindwa kusimama...
Taarifa kama hizi ni za aibu kwa uwanja wa kimataifa unaopigiwo chapuo humu kila siku.
Lindege lote hili na abiria wake wameganda masaa kisa mafuta.... Afrika bana
The airlines said the delay...
Mpaka hapo shughuli inakwenda vizuri, uhusiano unazidi kuboreka, mama kaonyesha mfano mwema badala ya kulia lia kuhusu Kenya na Wakenya, atafute namna ya kuwekana sawa. Japo namuelewa, yeye ana...
Nilikua napitapita kule YouTube nilipokutana na hii vidio ilio nishtua sana, eti mwanajeshi kaua chatu kwa "mikono yake" miwili (Ingawaje hapo akijieleza anasema alitumia mkuki na pia panga)...
Swali wajemeni, kwa wanaojua,
Huyu jamaa anaishi wapi? nakumbuka ile timbwili lake uchanguzi uliopita ambao Uhuruto walipata asilia 97% baada ya uchanguzi kususiwa na Odinga, baada ya hapo...
Kuna yale malengo ya nchi ambayo nchi zote zinazoendelea (Developing Countries) zilijiekea za kuweka muda mbao kila nchi inafaa iwe imehitimu, Kitambo malengo haya yalikua yanaitwa UN -Millenium...
Kenya kwa mara nyingine tena wamekwenda kulialia kwa IMF kuomba msaada wa bajeti (loan) ili wapambane na madhira ya COVID-19.
Ikimbukwe kwamba hawa viongozi walipokea jumla ya US$ 739,000,000...
Habari zenu wakubwa,
Kwasasa soka la Africa mashariki linainuka kwa kasi sana angalau sasa wadhamin wanaweka pesa ya maana. Mfano kwa hapa Tz giant Yanga kaingia mkataba mnono na kampuni ya Azam...
Dah! Yaani Kenya kuja kuifikia mbona ni safari.
========
Kenya has been ranked as the top country in the world in reducing the population with no access to electricity, pointing to the impact of...
Serengeti imetangazwa tena kuwa ndio sehemu pekee inayoongoza kwa kuwa mbuga bora duniani.
Baada ya hiyo habari pia nikumbushe CNN walishawahi kuitangaza Tanzania kuwa ndio nchi yenye Beach bora...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mtu wa kwanza amepona kabisa ugonjwa wa corona.
''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa...
MY TAKE
Hawa wapumbavu wakiachwa watasababisha migogoro kati ya Wakulima na Wafugaji imagine ngamia 89 wanaswagwa kwa njia za vichochoro! Hii si mgogoro unatafutwa kwa mazao ya wakulima? Ni vizuri...
AzamPay preps to launch AzamPesa
June 23, 2021
The high service fees slapped on mobile money transfers is one of the biggest hurdles says Ahmad. “One of the critiques we have of the existing...
Mshukiwa alirejea nyumbani akiwa amechelewa na hivyo kumlazimu mama yake kumuuliza sababu za kukosa kuandaa chajio
Mama huyo anadaiwa kukerwa baada ya mama yake mzazi kumuagiza kuwaandalia wanawe...
Tukiwaambia muache kulinganisha Nairobi na miji uchwara mnaona kama mnatukanwa...
Nairobi has been ranked as the only African city in the top 50 category of cities around the globe according to...
Tanzania in talks with Chinese investor to revive Bagamoyo Port, says President Samia
SATURDAY JUNE 26 2021
Summary
The $10 billion Bagamoyo project construction was suspended by late...
Global Hunger Report says 23 per cent of the population in Kenya is under nourished?. [Courtesy]
Some 1.5 million Kenyans are facing an acute food shortage that has been exacerbated by Covid-19...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.