Not my words! As we hysterically appreciate our president visit to the US and UK's May visitation, note how Malema says about these people. Note the level of analysis
Iran has joined the list of foreign nations trying to tap into the abundance of opportunities in Africa’s tech space.
The Middle East country has built a rare tech hub named ‘Iran House of...
Rais Uhuru Kenyatta amezindua ‘Loon Internet Balloons’ ambayo yatazipa kasi za 4G simu zote nchini humo. Hii ni baada ya kampuni ya Telkom ya Kenya kuingia Ubia na kampuni ya Alphabet
Rais...
Kenya beat Nigeria, South Africa, Egypt and Ghana in 2020 in attracting investment for its startups. This is according to a report by Startuplist Africa, a data-driven platform that provides...
Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa...
Dah! Hawa ndugu zetu sijui nani kawaloga yahani wanaonyesha live kuapishwa kwa Rais wa Marekani.
Hivi VOA walishawai kuonyesha live kuapishwa kwa raisi wa Kenya but anyways i hope hata...
President Uhuru Kenyatta and Gerald Motondi during the unveiling of the EnglishPoint Marina statue in Mombasa
FILE
Gerald Motondi a teacher at Asumbi Teachers Training College is renowned in art...
Wale propagandists wa Jubilee hii mbona hamkufungulia uzi!
Halafu mnapenda kujilinganisha na kuitaja taja ovyo Tanzania utadhani "tuliwapea ball" tukawaruka!
Pitieni na comments za kwenye hizi...
Festus Mutia is a Senior Leasing Manager Peace Mall Complex in Kigali Rwanda
"Richard Branson said when an amazing opportunity is offered to you and you don’t know how to do it, say yes then...
Nchi chache za Afrika zina wanasayansi wanaoweza kusoma vinasaba (RNA) vya virusi vya corona. South Africa, Nigeria na Kenya ni baadhi ya nchi chache Africa ambazo zina maabara ya kisasa na...
Juzi TRA ya Tz walisema wamekusanya trilioni mbili, mitandao haikukalika kwa namna mataga walisifia wengine wakisema Tanzania sasa inaipiku Kenya kiuchumi, haya hapa KRA imekusanya mara mbili ya...
Kwa wale waumini wa kiingereza, tuliwaambieni ya kuwa siyo kila mmoja anakiabudu hiki kilugha cha Malkia kama Wakenya mnavyodhani.
Pia ikumbukwe, kwa Wakenya wote, siyo kila mzungu mweupe anajua...
Hii article inaelezea vizuri chanzo cha vita baridi kati ya Kenya na Somalia. Inatoa information nyingi ambayo sikuwa najua kuhusu Somalian politics. Inasema kuwa mawaziri na wanasiasa wa Somalia...
Hivi sasa kuna mgogoro mkubwa kati ya somalia na kenya, leo kenya wanataka kuimega bahari ya somali, mipaka ya bahari ya enzi leo wanataka kuibadilisha.
Hebu soma hapa, kenya ilivyofaidika na...
Wakenya wanaoishi nje ya nchi wametuma nyumbani pesa kiasi cha dola bilioni tatu katika mwaka wa 2020. Hii idadi ni kubwa kushinda idadi ya pesa waliyotuma katika mwaka wa 2019. Kinachoshangaza ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.