Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Polisi nchini Kenya wanachunguza kifo cha mwanaume aliyekutwa amefariki kwenye nyumba ya wageni, ambayo aliingia kwenye nyumba hiyo akiwa na wanawake wawili Maiti ya Mwanaume huyo imegundulika...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mwanafunzi wa chuo kikuu nchini Kenya amekiri kwa polisi na kutoa taarifa zaidi juu ya namna alivyopanga na kuwauwa watu watano wa familia yake, vimeripoti vyombo vya habari nchini humo. Simon...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Daraja refu litakalo ondoa utegemezi wa pantoni/ferry na mambo mengine makubwa tayari yapo kwenye hatua za kuanza utekelezwaji. Yataifanya Mombasa izidi kuzipa ushindani miji ambayo ipo kwenye...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndio kama hivyo, mpo? Kila tukigeuza anateuliwa Mkenya. ======== Prof Emmanuel Mutisya has been appointed as the Board Chairperson of Global e-Schools and Communities Initiatives (GESCI)...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mchungaji mmoja wa kanisa la Akorino, kwa jina Gichina, kutoka Ndiaa kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka 140, baada ya kukiri kuwabaka binti zake wawili na kila mmoja...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mbona haya makampuni yamekuwa mengi sana? Kampuni nyingine tena imepeleka GOT kwenye arbitration likidai pesa yake. Kampuni hii ilizuiwa kuchimba madini japo ilikuwa imepewa mining licence...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Hakuna mchezo, kazi zinafanyika kwa kasi ya kufa mtu. ======= The rehabilitation of the old Nakuru-Kisumu Railway line is taking shape with the project expected to be completed in April 2021...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanamitindo bingwa duniani Naomi Campbell sasa ndiye balozi wa ‘Magical Kenya International’, Wizara ya Utalii imethibitisha. Makubaliano ya kuwa balozi yamefanikishwa na Mhe. Waziri wa Utalii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
MY TAKE: Hii ni miongoni mwa sababu kubwa Diaspora na Afro Americans wamechagua kuja Tanzania kwa wingi kutokana na usalama wa Tanzania Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
11 Reactions
51 Replies
5K Views
Yaani hii ni zaidi ya akili kubwa, hongereni sana ndugu zetu, tuijenge hii nchi yetu kwa pamoja maana ndio nyumbani kwetu, mkiwa huko mnafanya makubwa sana nyumbani. ======== A group of at least...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
About 800 Nairobi taxis and some private vehicle owners have converted their vehicles to using LPG locally sold by Progas at its autogas stations manned by trained personnel. Kebs has also...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Watu waaju sana wana roho mbaya Shetani ananafuu, awajui kwamba kuna MUNGU ======
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Likoni accident: Driver and conductor saved from sinking tour bus
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwendo ni ule ule ===== Engineers work on MV Uhuru after it had stalled for approximately 13 years. THE STANDARD The Kenya Defence Forces (KDF) has unveiled a refurbished ship that it revived...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
East africa volleyball champioshinp 2021 "YOUR GAME." BE PART OF THE GAME. For more information please contact me +255 785 690 660 Email: eastafricavolleyballchampion@gmail.com
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kutoelewana kwa muda Mrefu kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenya na Makamu wake Wiliam Ruto hali iliyotokana na uhuru kuonesha wazi wazi kutomuunga mkono Ruto kujinyakulia urais 2022 na...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
KOT huwa tunapiga CNN sana wakileta ujinga. This time walikuwa wanadanganya kuwa Mzungu fulani ndiye alikuwa mtu wa kwanza kugundua kwamba hump-back wales (aina fulani ya nyangumi) wapo Kenya. KOT...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wamepokewa kwa mbwembwe zote hizo halafu kwenye bakuli la msaada wanatia dola laki moja, hizo hata zikidadavuliwa vizuri zitagharamikia tu mapokezi, mbona Wachina wamekua wabahiri hivi. =========...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
Hii story imenitouch sana. Huyu Mkenya ambaye alikuwa jeshi alienda peacekeeping DR Congo akaona jinsi watu wanateseka akaamua kuresign na kuanzisha clinic mwaka wa 2008. sasa hivi ana hospitali...
12 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom