Equity bank imeamua badala ya kudeal na benki mbili huko DR Congo ni heri izishikanishe pamoja ili ziwe bank moja kubwa. Benki za Kenya zinazidi kutesa ukanda huu wote. Naona uchumi wa Kenya ni wa...
Taasisi zote muhimu kama vile IMF na Benki kuu ya dunia wameyabashiri haya, tupo kwenye "raiti traki".
==========
The economy is seen rebounding to a growth of between 4.7 and 6.9 percent in...
Bila shaka tumekuwa na kipindi kizuri cha takribani siku 360. Tumekuwa na tumepitia changamoto nyingi, lakini tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwenye rehema kwa kutuweka tukiwa salama.
Nichukue fursa...
Below is the list of most streamed artist in Africa. Why Kenya with 90% internet penetration has no single representative while Tanzania with 46% internet penetration has 3 artists.
Hii ni...
Baada ya Kenya kuchaguliwa kujiunga na Security council, Kenya itaanza kuwakilisha Afrika rasmi kwenye security council kuanzia Kesho. Asanteni Tanzania kwa kutuchagua...
Zaidi ya watu 700 wamekufa wakiwa mikononi mwa maafisa wa polisi nchini Kenya tangu mwaka 2007. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu.
Hata hivyo...
The execution of the Lanet/Nakuru International Airport project has begun following a groundbreaking ceremony held at the 81 Tank Battalion Barracks in Lanet. Speaking during the ceremony, Deputy...
The Standard Gauge Railway (SGR) passenger train service from Nairobi to Mombasa is fully booked until December 27, 2020 as travelers flock the coastal city to enjoy the festivities.
Bus...
Kuna hizi taarifa naona zimezagaa kote kwamba kampuni ya Coca Cola imeng'ang'ania kuajiri Mkenya awe mkurungezi wa tawi lake Tanzania, ila kwamba Tanzania imemkatalia kama ambavyo imekua desturi...
Will the US Interviene to rescure the desperate poor third world country Kenya?
Tension as Turkey Dispatches Drones Along Somalian Border With Kenya, More Troops Deployed Fighter jets
A few days...
Winnie Achieng (33) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kutumbukia katika bahari ya Hindi mjini Mombasa, Kenya huku mwanaye wa miaka 12 akiogelea hadi ufukweni.
Taarifa iliyotolewa...
Hali ya UMASIKINI nchini Kenya yatajwa kuzidi kuwa mbaya sana. Hiyo inapelekea kuwa ni miongoni mwa nchi 10 Afrika zenye kiwango kikubwa cha UMASIKINI uliyotopea. Mtu anaweza kujiuliza ni kwa nini...
Kenya ilikua imesitisha kukamilisha kipande kidogo kilichokua kimesalia cha kuunga hadi Uganda baada ya hao Waganda kutoonyesha "seriousness" kwenye hili la SGR, ila sasa wao wamesaka mkopo...
Hivi ndivyo inavyopaswa, badala ya kulea majungu na chuki kila anapoteuliwa mgeni kusimamia kampuni, mnachopaswa kufanya ni kukubali mapungufu yenu na kupambana ili mjiboreshe na kuanza kuaminika...
Huko nchini Kenya katika eneo la Baricho, Kirinyaga imetokea vuta nikuvute baada ya wasichana kudai fedha zao kwa mchungaji waliyemlipa ili awaombee wapate wanaume wa wakuwaoa.
Wasichana hao...
Equity Bank crosses the Ksh1 trillion balance sheet mark - TV47
Equity Group has become the first bank in Eastern and Central Africa to cross the Ksh1 trillion balance sheet mark.
Speaking in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.