Media kuu Za kenya (Citizen, KTN, NTV) zote sinaonyesha harusi hii ya Price Harry and Meghan Markel live. Kwa kweli hapa Kenya bado kiakili tumetekwa na wakoloni.
Tanzania hata hakuna yeyote...
Madaktari nchini Kenya wametangaza kumaliza mgomo na kurejea kazini baada ya kufikia makubaliano na serikali.
kaimu wa katibu wa muungano wa madaktari nchini Kenya Chibanzi Mwachonda amesema...
Nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, kwa msaada wa shirika la Uingereza, UK Aid, linasaidia kutoa huduma ya ulinzi kwa watoto katika makazi duni au yasiyo rasmi...
Gavana wa Nyamira, John Nyagarama(74) amefariki kwa #COVID19 Nairobi katika Hospital akipatiwa matibabu
Nyagarama alilazwa kwa wiki tatu ambapo baadae alihitaji Oksijeni na kuwekwa kwenye...
Huu mto unatokea Rwanda na kuishia ziwa Victoria moja kwa moja, Rwanda wameanza michakato inayoweza kuutumia kufikia Victoria kupokea mizigo.
Sasa kwa sababu tunajenga bandari kubwa Kisumu ndani...
Othaya Girls School Principal Jane Kimiti holds the recognition certificate after she was crowned the 2020 African Union Continental Teacher of the Year (Courtesy)
The Principal Jane Kimiti of...
Madaktari nchini Kenya wanaofanya kazi kwenye hospitali za umma wameungana na wahudumu wengine kwenye mgomo kulamamikia kutopewa bima ya afya na kufanya kazi kwenye mazingira magumu hasa katika...
Kila kunapokuwa na utata wa kidi[plomasia, Kenya always act like the bigger brother. Utapata wabongo humu wakiuona kuwa udhaifa ila Kenya inanikumbusha jinsi big brother mwenye busara anavyopuuza...
Kama ilivyo kwa Wakenya, huwa hatukawii kudhihirisha mioyo yetu ya ukarimu inapotokea mambo kama haya, yaani jamaa muda huu anashindwa aanze kushukuru vipi maana kila akigeuza misaada kedekede...
Katika harakati za kupambana na COVID19 Kenya imeagiza dozi milioni 24 za chanjo ya CoronaVirus zitakazotosha 20% ya wakenya.
Dozi hizo zinagharimu Ksh bilioni 10 sawa na takribani Tsh bilioni...
Serikali ya Somalia imetangaza kusitisha uhusiano wake na Kenya ikidai kwamba Serikali ya Kenya inaingilia kati masuala yake ya ndani.
Nchi hiyo jirani wa Kenya, imetangaza kuwafukuza...
Lawyer Ahmednasir pays KSh 250,000 monthly for using electricity in his house
- The Grand Mullah, as he is famously known, clarified he does not own a factory at his home
He claimed he has not...
Ugandan dairy industry reels from Kenyan ban
SATURDAY DECEMBER 19 2020
Milk processing at a factory. The escalating trade dispute between Kenya and Uganda over milk exports, is just one of many...
On the 12th floor of Mount Kenya University Plaza in Thika, Kiambu County, a group of young tech-savvy students is busy working on their computers as they receive calls on a handset.
The calls...
KWA miaka mingi Kenya imekuwa karimu kwa kukaribisha raia wa nchi jirani zake wanaotoroka ghasia za kikabila na kisiasa katika nchi zao.
Hata hivyo, nchi hizi zimekuwa zikilipa ukarimu huu...
Kenya to lift ban on Uganda poultry imports
THURSDAY JANUARY 31 2019
In Summary
Uganda submits report on eradication of the disease to World Organisation for Animal Health (OIE).
Only three...
Bw. Sonko anatuhumiwa kwa ukiukaji wa katiba, utumizi mbaya wa mamlakaa, utovu wa nidhamu na uhalifu chini ya sheria.
Maseneta 27 walipiga kura kuunga mkono kuondolewa ofisini kwa Bw Sonko kwa...
Sijui ni sera za kijamaa au nini husababisha Tanzania pawe pagumu kuingilika kibiashara, haswa kwa hizi za kwenye mitandao. Brighter Monday wamehama na kuamua kuendelea na huduma zao Nigeria...
Mahakama Nchini Kenya imemuachia huru Julius Wambua baada ya kutumikia kifungo kwa miaka 8 kwa kosa la kumbaka Mtoto wake wa miaka 15, uamuzi huo umefikiwa baada ya kujiridhisha kuwa hukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.