Somaliland inataka kutambuliwa kama nchi huru.
Kenya itafungua ubalozi mdogo katika jimbo la Somaliland kufikia mwisho wa mwezi Machi wakati Somaliland nayo ikipanga kupandisha hadhi ofisi yake...
Tunazidi kuwachapa za uso majirani. Hii ni baada ya Lion King kuleta mafanikio katika masoko.
===
Simiyu Region to host Africa’s pioneer Disneyland theme park
Simiyu Regional Commissioner...
Nimeangalia makala moja ya Africa Uncensored, inaonyesha deni la Kenya nimekua mara tatu zaidi ya Deni ambalo Mwai Kibaki aliacha.
Makala hiyo inaeleza kwamba Tangu mwaka 2013 mpaka 2020 Deni...
All the suspects have been arrested. police are looking for them
2. I can confirm, although I am not certain, that we have very good reason to believe that tomorrow is Monday.
3. Yes there were...
Gavana Mike Sonko amekamatwa baada ya mvutano baina ya wafuasi wake na polisi.
======
Nairobi Governor Mike Sonko, who is facing impeachment by the Nairobi County Assembly, was on Monday...
Maisha ya huko Turkana ni zaidi ya maisha ya kuzimu.
Katika karne hii ya sayansi na technolojia watu wanasafirisha watoto kwa kutumia punda.
Turkana ni nchi ndani ya nchi, wapo na jeshi lao. Kila...
Mkenya Cholo Abdi Abdullah amekamatwa kwa tuhuma za kupanga shambulizi kama la September 11 Marekani.
Mkenya huyo, inasemekana alipenda maelezo na kikundi cha kigaidi na kwenda kuchukua mafunzo...
A Nairobi court on Wednesday released Nairobi Governor Mike Sonko on bail but hit with tough conditions which include being barred from office.
The Governor was released with a Sh15 million cash...
Kushindwa kwa mgombea wa chama cha upinzani cha Orange Democratic (ODM) katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Msambweni, pwani ya Kenya, kumeleta maswali mengi na kuzua mihemko katika jukwaa la...
Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya.
Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid...
Foreign Direct Investments (FDIs) into East Africa surged in 2019 to hit $11.5 billion, up from $5.7 billion in 2018. This was mainly due to China’s increased interest in East Africa’s...
More and more Kenyans are able to access global e-commerce platforms, thanks to M-PESA Global which has struck partnerships with over 28 international money transfer firms.
Years ago, the process...
Na sasa hivi kwa shughuli zinazoendelea kwenye nchi hii, mtahangaika sana kujaribu kutufikia ila pengo linazidi kuongezeka. Mjitafakari wapi mlikalia kuti kavu.
=======
Kenya has been ranked...
Kenya ranked top within the region in digital growth and demand, according to the latest Digital Intelligence Index payments firm Mastercard and the Fletcher School at Tufts University.
In the...
Kenya imezungukwa na nchi nyingi
1. Somalia
2. South Sudan
3. Uganda
4. Tanzania
5. Rwanda
Kati ya nchi hizo ni nchi gani ambayo Wakenya wapo na Ujirani + Undugu mkubwa nayo?
Serikali ya Kenya kuanza mikakati ya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha ili iwe inahudumia Wakenya wanaofanya shughuli zao mikoani. Hivyo kule Tanzania tutakua na ofisi mbili za ubalozi, ya Dar...
Wiki iliyopita Somalia iliamua kufurusha Balozi wa Kenya nchini humo kwa madai kuwa Kenya ina interfere na siasa ya Somalia. Sasa kwa sababu Somalia ndio wamelianzisha basi sisi tunalipiza tu...
Kenya has been ranked among countries with the most open borders in Africa, in a report that highlights the country’s standing as a regional trade and aviation hub.
According to the Visa Africa...
Twenty per cent of the adult population in Kenya surveyed considers betting as a reliable source of income.
This is according to the just released Central Bank of Kenya Financial Access...
Court halts Kenya duty on glass imports
THURSDAY DECEMBER 10 2020
Summary
In March 2020, Kenya amended its Excise Duty Act 2015 by imposing a 25 percent duty on imported glass bottles, save for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.