Tragedy has struck former and late Changamwe MP Ramadhan Kajembe's family as his daughter passed on on Wednesday.
Reports say that Langoni Kajembe, who had been admitted at Pandya Hospital and...
Hii imetokana na jitihada za Kenya kutojichokea kwenye vita dhidi ya corona na imekua ikifuata miongozo na kanuni zote za kupambana na janga hili ambalo limeikumba dunia. Imetoa ushirikiano wote...
Shughuli katika hospitali za umma Nairobi, Kenya zimekwama baada ya madaktari kuanza mgomo wao. Hayo yanajiri baada ya madaktari hao kutoa ilani ya siku saba kwa kile wanachokitaja kuwa ni...
TANZANIA YA SITA(6) KWA AMANI NA UTULIVU AFRIKA KENYA YA 119
Ripoti ya Global Peace Index ya mwaka 2020 inaonesha kwamba watu milioni 971 duniani wanaishi katika maeneo ambayo yana kiwango cha...
Kenya imetoa nchi 130 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila masharti ya raia hao kukaa karantini.
Katika orodha ya nchi hizo Tanzania haimo. Hii ikiwa na maana kwamba raia wa...
Wabunge wa bunge la EAC toka kenya wameonyesha ulafi wao wa fedhaa ktk bunge la EAC wakidai walipwe daily subsistance allowance ili hali wana fanyia kazi nchini kwao ..AIBU gani hii kwa wabunge walafi
Naibu Rais William Ruto Alhamisi Agosti 20 alisema janga la coronavirus limegeuzwa kuwa sakata ya mabilioni ya pesa humu nchini. Ruto alisema baada ya janga hilo kufika nchini, liligeuzwa na kuwa...
Visa vya mauaji vimekuwa vikiripotiwa kila kuchao humu nchini hasa katika mtaa wa Kilimani jijini Nairobi, mauaji yake Kevin Omwenga yaliyotokea Jumamosi yaliyonyesha kuwa mtaa wa Kilimani...
August 27, 2020
Without giving any details, the President on Wednesday said the 2010 Constitution had served the country well but needed to be changed to align with new realities.
Uhuru Kenyatta...
Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols
Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) revokes the approvals for AirKenya Express, Fly540 and Safarilink Aviation.
Nairobi and...
Huyu Waziri wa Utalii anasimamia msimamo wa Serikali yake lkn bado anataka mazungumzo na Tanzania. Kumbukeni, wakati sisi hatujawakataza kuingia Tanzania, nyie mmezuia kabisa yaani mtu awe na...
Kenya has secured a $59 million (Sh6.4 billion) loan to build special lanes for high-capacity buses connecting the Eastern Bypass to Thika Road.
There have been several design afterthoughts...
Road Construction works on Outering Road.
FILE
The Director-General of the Kenya Urban Roads Authority (KURA) Silas Kinoti published a full list of all major roads in Nairobi set for upgrades...
Global Peace Index – Vision of Humanity
Tanzania imeendelea kudhihirisha kwamba ni kisiwa cha amani baada ya kuchumpa nafasi sita zaidi na kushika nafasi ya 52 duniani kwa amani, Uganda imeshika...
It's Only a fool that doesn't change his mind, hapo mbeleni nilimponda Magufuli kwa jinsi alivyo handle hii pandemic ya Corona lakini sasa naona he was right all along; huu ugonjwa hauathiri...
The doing business report 2020 has been released and it is official, Rwanda is really doing it's very best to make it easy to start businesses in the country. Here is the List of top 10 easiest...
Baada ya wananchi wengi wa Kenya kwa muda mrefu sasa wakipiga kelele kumuomba Uhuru Kenyatta kuiga uongozi wa Magufuli katika kutatua kero za wananchi hasa kupiga vita rushwa, sasa viongozi wakuu...