Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Even in our Country Tanzania 🇹🇿, leaders must change their lives the way they are living. Stolen tax collected from poor peoples. Maisha yao ya kifahari ni chukizo kwa wananzengo wa nchi hii...
5 Reactions
7 Replies
556 Views
Afisa mkuu wa polisi aliye stationed katika Kituo cha Polisi cha Kegonga huko Migori alijipiga risasi kimakosa alipokuwa akimpa silaha mwenzake ndani ya kituo siku ya Jumatatu. Kulingana na...
3 Reactions
2 Replies
276 Views
Wakati vijana wameingia mtaani waliitisha mkutano wakasema Rais Ruto asikilize hao vijana wanateseka wanahitaji ajira na mengineyo. Mh Ruto akagoma kusaini akaamua kuwasikiliza. Hawakurudi...
1 Reactions
3 Replies
263 Views
Swali kwa wajuzi, Bajeti ya Kenya haijapita hadi leo. Mwezi huu wa saba wafanyakazi wa Serikali na wabunge ikiwemo wanajeshi, mishahara yao italipwa au la?
0 Reactions
14 Replies
432 Views
The moment a Mombasa businessman fired at protesters to keep them away from his premises. Several people were injured and rushed to hospital
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Ruto alijichanganya mwenyewe, he is the only African leader ku jiingiza rasmi kwenye ugomvi wa nato vs russia, china &co., Ruto alicondem rasmi live kwamba Russia ni aggressor, ruto alipewa status...
1 Reactions
4 Replies
398 Views
Rais wa Kenya ,William Ruto amesema kutokana na Wananchi wa Kenya kuukataa mswaada wa sheria ya Bajeti Maarufu kama Finance Bill uliozua Maandamano makubwa, Serikali yake italazimika kukopa Zaidi...
6 Reactions
89 Replies
3K Views
Vijana waandamanaji wa Gen Z wameonya Wachungaji na Mapadre kutoruhusu Harambee za Wanasiasa kesho na wale watakaokaidi watakuona Cha moto Gen Z wamesema kesho watatawanyika katika Makanisa yote...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Kenya kimewaka upya. Nairobi na Waswahili wa pwani ya Kenya nao wamestuka sasa. Hawamtaki Jaba. https://m.youtube.com/watch?v=VRos8A7ThPI&pp=ygUNa3RuIG5ld3MgbGl2ZQ%3D%3D...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Idadi ya waliojeruhiwa katika maandamano ya kupinga serikali yanaendelea kuongezeka, huku watu wengine 35 wakilazwa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na majeraha ya risasi na majeraha mengine tofauti...
1 Reactions
0 Replies
222 Views
Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya. Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Kenya yupo wapi? Au nae anaandika kitabu chake (Autobiography) ili awaombe wa-Kenya msamaha?
2 Reactions
4 Replies
260 Views
Makamu mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Juliana Cherera, amezidi kumuanika Mwenyekiti, Wafula Chebukati, akimshutumu kwa "kukosekana kwa uwazi" katika kushughulikia uchaguzi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Alipokuwa akihojiwa jana tarehe 30/6 na waandishi wa habari, Rais Ruto alisema japo amekubali kuondoa na kutokusaini Finance bill hiyo lakini anasikitika sana kwani bill hiyo ilikuwa na manufaa...
4 Reactions
11 Replies
563 Views
Wanajamvi, bado natafakari hotuba ya Ruto ambaye ameitoa hivi punde. Ninatizama live hivyo nitaweka hapa text ya hotuba. Hatahivyo ni hotuba ya hovyo sana na anaonekana ku panic. Ameongea kama...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Waandamanaji Kenya wamechoma mahakama ya ya Rufaa. Yaani wameamua kushambulia mihimili yote kuanzia Serikali, Bunge na sasa mahakama Inatisha. Pia soma===> News Alert: - Rais Ruto (kuhusu...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Habari za usiku huu kama kichwa Cha habari kinavyosema Kwa mnaofuatilia hotuba ya William ruto raisi wa Kenya yaani kiufupi ametonesha vidonda vya gen z anaulizwa maswali mengine anajibu kingine...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Wabunge kutoka Mashariki ya Kenya kwenye Wasomali wengi wamemtaka Naibu Rais Gachagua ajiuzulu Wabunge hao wamesema Gachagua hakupaswa kumshutumu hadharani Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa taifa...
4 Reactions
68 Replies
2K Views
Baada kuvamia bunge kula vyakula vya wabunge kijana mmoja shupavu anaoneka kuondoka na siwa ya bungeni Kenya. Neno moja kwa huyu mwamba
33 Reactions
110 Replies
8K Views
Siyo rahisi kuyafikia malengo na mahitaji yenu ya msingi mengi na yote kwa pamoja. Inahitaji muda na nafasi. Inafahamika na Imebainika Africa na duniani nzima, mnatamani mahitaji yenu yote ya...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…