William Ruto ameagiza mamlaka husika kuharakisha uchunguzi kuhusu miili iliyopatikana ikiwa imefungwa kwenye mifuko ya plastiki kwenye dampo la Kware huko Mukuru kwa Njenga, Jijini Nairobi ili...
Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis.
Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya...
1. Kama mnavyokumbuka vurugu baada ya uchaguzi Mkuu 2007/08 zilisababisha mauaji ya watu kadhaa. Kesi ikapelekwa Mahakama ya ICC-The Hague,
2. Watuhumiwa wakiwemo - Uhuruto na wengine wakaitwa...
Kitendawili cha miili iliyokatwakatwa katika Kitongoji cha Mukuru kwa Njenga Jijini Nairobi kinaendelea baada ya miili mingine ikiwa imefungwa katika magunia kupatikana leo Julai 13, 2024...
Bwana Ruto katikiswa kwelikweli na hawa vijana waliotishia kumwangusha kijumla.
Licha ya kufuta bajeti na kuahidi kushughulikia mengine yaliyotajwa na hawa vijana, hali bado inaonyesha kuwa tete...
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Burieruri Boys katika Kaunti ya Meru wamegoma na kutoka nje ya shule muda mfupi uliopita. Wanaonekana wakikimbia kuelekea mji wa Maua.
Sababu ya tukio/hali ya...
Anaitwa Julius! Ni Gen Z kutoka nchini Kenya.
Amewaasa vijana wa Afrika kuwa njia pekee ya kuleta MAGEUZI ni kupinga maovu yanayofanywa na Serikali zao. Katoa wito huo alipokuwa mahakamani kwa...
Kenya kunaweza kuibuka machafuko mengine kutokana na miili ya watu kuokotwa kila sehemu huku sehemu Mukuru ikionesha kuwa na idadi kubwa ya maiti zilizofungwa kwenye viroba kwa wingi vikiwa kwenye...
Kijana wa Kenya kwenye page yake mtandao X kwa jina sniperkenya1 huko mtandao wa X ambaye alijizoelea umaarufu wa kutengeneza clip ya utani ikimtungua Rais Ruto huku maandamano ya GEN-Z yakiwa...
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia...
1. Kila siku wanamkaribia Mheshimiwa Dkt. Commander in Chief Ruto (PhD) maana Mheshimiwa pamoja na kuwamwaga mizigo wa mwizi (Baraza la Mawaziri) baharini Ila bado wanae tu.
2. Nini...
39 people were killed and 361 injured during the anti-Finance Bill protests countrywide, the Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) has said.
In a statement signed by the commission's...
Mambo yanazidi kuwa mabaya kwa kenya huku polisi na familia zao wakijikuta wapo matatani pamoja na viongozi wao.
Mbunge Dadaab Farah Maalim amejikuta wakati mgumu huko mombasa baada ya kutoa...
Ukimya wake tangu maandamano ya Gen Z yalivyoanza uliibua maswali na mashaka mengi juu ya uwezo wake, weledi wake yeye na wa jeshi la polisi kwa ujumla, na kwa yeye kuendelea kuhudumu kwenye...
Mahakama ya rufaa imeamuru kwamba hukumu ya kifungo cha maisha sio sawa na kwamba kinyume cha katiba.
Kwa mujibu wa Majaji - Pauline Nyamweya, Jesse Lesit na George Odunga, sio haki kumfunga mtu...
By Citizen TV - The minds of Kenyans have shifted towards we will not wait to question things after they have been done, we are going to start to be involved in the process from the beginning. We...
Pigo jingine kwa Rais Ruto baada ya Mahakama Kuu kutangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na katiba. Sheria hii ilikuja baada ya NHIF kuondolewa, bima ambayo Wakenya...
Wakuu nimekutana na hii kitu, majirani zenu na watani wa jadi wamezuiwa kuingia Dubai (UAE)
Africa pia zimo Libya, Tunisia na Somalia.
=====
The United Arab Emirates has stopped issuing new...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.