Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Japhet Koome amejiuzulu.
Rais wa Kenya, William Ruto ameridhia kujiuzulu kwake.
=====
NAIROBI, Kenya July 11, 2024 – Kenya’s Police Chief Japheth Koome...
Nimeunda Tume maalumu ya kushughulikia deni la Taifa Ili tubaini mambo matatu
1. Tulikopa kiasi gani cha Fedha na kwa sababu gani
2. Miradi gani iliyotekelezwa kwa Mikopo hiyo na iko katika hali...
vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Mwandishi wa habari wa Kenya, Catherine Wanjeri Kariuki, anayefanya kazi kwa Mediamax Limited, amepigwa risasi na polisi huko Nakuru wakati akiripoti maandamano yaliyoongozwa na vijana wakitaka...
Collins Jumaisi Khalusha, anayeshukiwa kuua wanawake wapatao 42 na kukata miili yao vipande vipande kabla ya kuitupa katika eneo la machimbo la Kware huko Embakasi Kusini, amekanusha madai hayo...
Africa Mashariki ni lazima tuungane sasa kuisaidia Kenya kwani Wananchi na Viongozi Wote wamechanganyikiwa
CCM tuna jukumu la kuisaidia Kenya kwa sababu Sisi ndio Chama kikubwa zaidi barani...
Breaking news
Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya
Citizen TV
======
Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake...
Wakati Gen Z wanasisitiza kuanguka na Ruto. Ingefaa jeshi lishike hatamu kurejesha Hali ya utulivu na Amani. Baada ya miaka miwili. Ndio urejeshwe utawala wa Kiraia.
RIP (Late) General Francis...
Taarifa za sasa zinasema Muuaji wa Watu waliokutwa kwenye viroba huko Kware amepatikana na anahojiwa na Polisi kujua asili yake na sababu za kufanya Mauaji hayo.
Source: Citizen TV
====
DCI...
Huyu Rais wa Kenya Dr Ruto kwa hakika ana hofu ya Mungu wa mbinguni
Ruto amesema amevunja Kitengo cha Polisi kilichokuwa ni maalum kwa kuuwa Watu na kuwatupa maporini, amesema hawezi kuruhusu...
Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama
Hali ya usalama kwa vijana walionekana Kenya inazidi kuhatarisha huku kukiwa na ongezeko la...
Telecoms operator Safaricom has doubled the price of SIM cards to reflect the impact of new taxes.
Consumers will from Friday pay Ksh.100 for a SIM card purchase from Ksh.50 previously following...
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.
Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto...
Kama ni uigizaji, atakuwa amevuka mipaka. Ni kuichafua nchi yake na raia wa Kenya kwa ujumla.
Lakini kama ni matukio ya kweli, anastahili pongezi. Ni ushushu wa hali ya juu.
Katika clips zake za...
Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la
Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo...
Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi...
Naibu Rais Gachagua ni vyema akadhibitiwa kabla hajatamka neno lolote Kwa wakati huu. Maana jamaa linamtoka lolote linalomjia kinywani. Kenya Kwa sasa inahitaji utulivu na uponyaji
1. Kutokubalika kwa sera zake za Kodi mpya kila kukicha na mauaji yanayoendelea ingefaa Dkt. Ruto apumzike kupisha uchaguzi Mkuu mpya.
2. Kenya inastahili Rais mpya mwenye maono na Sera mpya.
3...
DENZEL OMONDI alionekana kutrend kwenye mitandao ya kijamii kwenye mgomo huko kenya naye ni muwanga ambaye alipotea na wengine ambao walionekana kujipost bungeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.