Sunday Nation is reporting that Raila Odinga is currently in Dubai to meet former president Uhuru Kenyatta who has been convincing him to drop his AU bid and any attempts to join President William...
Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?
Nasema sasa imetosha...
Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya.
✓ Ni Mawaziri 6...
Rais William Ruto amewataka wanaosababisha machafuko kwa kufadhili watu kufanya vurugu nchini humo wajitokeze hadharani na washauri Serikali ifanye nini ili kuondokana na hali iliyopo...
Proposed political deal with President William Ruto, as his coalition partners reject the plan for a government of national unity.
Wiper party leader Kalonzo Musyoka has joined other Azimio la...
Ni dhahiri sasa,
Kumbe nia na dhamira ya vijana wahalifu nyuma ya Gen Z haikuwa kupinga ushuru, kodi, na tozo zilizokuwako kwenye muswada wa sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ulioipitishwa na...
Watu wasiojulikana wakiwa kwenye pikipiki walifika katika ofisi za mwanaharakati Boniface Mwangi Jumamosi alasiri, wakisababisha vurugu na kuvuruga shughuli za kawaida katika eneo hilo.
Mwangi...
odinga alikuwa anasikilizwa sana ila inaonekana hana la maana kwa nchi ya kenya:
Raila Odinga : Ruto akiachia, ndo nini? Ruto huenda akaondoka kisha Gachagua achukue jukumu la kutekeleza sera...
Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye...
Gen Z wanasema Bara la Africa halijawahi kuwa Huru bali ni Unyonyaji ulihamishwa kutoka kwa Mzungu na kuwaachia vibaraka wao Weusi
Sasa Gen Z ndio wanapigania Uhuru wa kweli na Leo ndio wanafanya...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais William Ruto wa Kenya atangaza Baraza jipya la mawaziri huku akiwarejesha baadhi ya mawaziri aliowaondoa kwenye mabadilko ya awali
President William Ruto has named...
President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation
Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya...
Siku chache tu baada ya Rais William Ruto kulishtumu Shirika la Ford Foundation kutoka Marekani kwa kile alichokitaja kama 'kufadhili maandamano ya kupinga Serikali yake,' sasa Serikali kupitia...
Kenya ni majirani zetu wa karibu sana lakini yanayoendelea Kenya sio demokrasia kama ambavyo wengi wanadhani lakini hiyo ni politics accident !
Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu...
Jeshi la Polisi limemepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kufanywa na Gen Z leo katikati ya jiji la Nairobi.
Kipeperushi kilichosambazwa na vijana wameonesha kunuia kufanya maandamano makubwa...
kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo...
Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni).
Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi?
NB: HAPA...
Msemaji wa Serikali ya Kenya, Isaac Mwaura amesema kuwa taifa hilo limepoteza zaidi ya pesa za kenya bilioni 6 (zaidi ya bilioni 123 za Tanzania) kutokana na wimbi la maandamano yaliyoshuhudiwa...
Article 33(1) of the Constitution of Kenya provides that every person has the right to freedom of expression while Article 34(1) guarantees freedom and independence of the media.
However, the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.