Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za...
Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo
Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa
Wahuni siyo Watu 😂
Hayo ni maneno ya William Ruto Rais wa Kenya akitishia kujitoa kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika -Arusha.
Chanzo Cha vitisho hivyo vya Ruto ni sakata la Mahakama hiyo...
Baada ya Viongozi wanne wa ODM kuingia kwenye cabinet ya Kenya Kwanza maana yake ODM siyo Chama cha Upinzani tena hivyo kimeondolewa kwenye Umoja wa Azimio
Source: Citizen TV
Mlale Unono 😀
Kenya's coup conspiracy
Monday, May 24, 2004 — updated on June 21, 2020
Mancham, a regular visitor to the Kenya waves Kanu's one-finger salute as he departed from Nairobi in 1972 to the amusement...
Taifa la Kenya lina jamii mchanganyiko.
Ila moja ya jamii ambayo ni ya kipekee sana ni Wasomali ambao kiuhalisi walijikuta wako Kenya kutokana na sababu za kikoloni. Ila baada ya Kenya kupata...
Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna hivi majuzi amejipata kwenye njia panda kuhusu uteuzi wa baadhi ya wanachama katika Baraza la Mawaziri la Rais William Ruto.
Ruto alipendekeza mwenyekiti wa...
India’s Adani Airport Holdings Limited has proposed to invest $1.85 billion (Sh246 billion) to expand Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) under a concession deal that, if accepted, could...
Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu.
"Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye...
Nafikiri ili ufiti vizuri kwenye siasa za panda shuka ukanda huu wa Afrika Mashariki, inabidi uwe mnafiki na unajitoa ufahamu kweli kweli.
"Handshake" ya Raila na Ruto haikutegemewa kabisa...
Mheshimiwa pona yako ili kubaki ikulu ni kuzima Internet kama Tanganyika 2020 ili hao Gen Zero wapotezane huko mtandaoni. Vinginevyo Julai haiishi unaondoka..
Linda cheo chako na washkaji zako...
Wamiliki wa paka jijini Nairobi sasa watalazimika kulipa Sh200 kama ada ya leseni kwa serikali ya kaunti.
Hii ni miongoni mwa mapendekezo yaliyomo kwenye Muswada wa Udhibiti na Ustawi wa Wanyama...
Mmojawapo wa mawaziri wa Kenya aitwaye Kipchumba Murkomen ameomba msamaha kutokana na mtindo wake wa maisha ya ufahari aliokuwa akiishi ambao ulikuwa ukiwakwaza Wakenya wengi.
Baada tu ya kupata...
Huyu dada ni nani?? Huyu dada anaumashuhuri Gani miongoni mwa Gen Z??
Inakuwaje pichani hapo amevaa nguo kama za kijeshi??
Vipi tetesi zinazoenea kuwa ameuliwa ni za kweli...
Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko...
Waandishi wa Habari wameandamana jijini Nairobi kwa ajili ya kulaani mashambulizi ya Wanaoripoti Habari kuhusu Maandamano na vitisho kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoka kwa Polisi
Pia soma...
Watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha leo asubuhi katika ajali iliyohusisha magari kadhaa kando ya Southern Bypass, jijini Nairobi. Polisi pia wamesema watu wengine watatu wamejeruhiwa vibaya...
Gen Z wamepanga kuvamia sehemu tofaut tofauti ikiwemo Airport ya Nairobi/JKIA kama njia ya kushinikiza matakwa Yao,
Hivyo kama unapanga safari fikiria mara mbili. Usije kujuta ugenini...
16 July 2024
Nakuru, Kenya
Mheshimiwa rais William S. Ruto wa Jamhuri ya Kenya alaumu mashirika ya kijamii yasiyo ya kiserikali pamoja NGOs kama mfuko wa wakfu wa US-Funded Ford Foundation...
Raia wa Kenya Wandamaana kutaka Shirika la IMF wasitoe Mikopo kwa Serikali ya Kenya
Julai 20, 2024 raia wa Kenya walifanya maandamano katika makao makuu ya IMF jijini Washington DC kutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.