KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu.
Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba...
Mwezi huu maada ya mchakato wa mwaka mzima Kenya imeitangaza rasmi Eldoret kuwa jiji la 5 katika nchi hiyo, hata hivyo Wakenya wengi wamedhihaki na kukebehi uamuzi huo wakiita Eldoret kuwa bado ni...
KAMA movie vile! Benki ya Equity nchini Kenya imeripoti kuibiwa kwa zaidi ya Shilingi za Kenya Bilioni 1.5 sawa na Shilingi za kitanzania Bilioni 30.Tukio hilo la aina yake liliripotiwa Julai...
hii ni kutokana na namna alivyofanikiwa kushughulikia na kuzima hasira za vijana wa gen z na kuwanyakua baadhi waandamizi machachari wa Raila Odinga na kuwapa kazi ndani ya serikali yake ya...
UPDATE:
August 22, 2024
KUTOROKA KWA WAFUNGWA: SHAHIDI ADAI WALITOKEA MLANGO MKUU KWA KUTEMBEA
Taarifa mpya zinaeleza Wafungwa 13 walitembea na kutoka kupitia mlango mkuu wa kituo cha Polisi...
Mwanaharakati afichua Miradi Hewa ya Rais Ruto
Wakili na Mwanaharakati wa Uwajibikaji, Morara Kebaso alianzisha ziara ya kitaifa ili kukagua Maendeleo ya Miradi iliyoanzishwa na Rais William Ruto...
Wakati wa vuguvugu la uchaguzi wa Kenya, hadi wakati wa kampeni za uchaguzi huo, Dr William Rutto alitangaza mkakati wake kabambe wa kuwakwamua Wakenya kuagana na umasikini, ulioitwa Bottom Up...
Kipini: Kijiji cha pwani ya Kenya kinachotoweka baharini
Roberto Macri
Maelezo ya picha,Wageni wakati mmoja walifurahia mandhari ya kupendeza kutoka kwa roshani ya hoteli ya Tana Lodge
Wakati...
1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar)
2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa...
A Maasai Mara tented camp, Mahali Mzuri, owned by British tycoon Sir Richard Branson has been ranked as the number one hotel in the world. The Travel + Leisure World’s Best Awards released on...
Rais Ruto anaendelea na ziara yake ya kuwatembelea Wakenya majumbani mwao.
Leo alikuwa Kisii na kama kawaida ameinza siku kwa kupata chai ya maziwa na Mkate akiwa na wenyeji wake.
Ingekuwa...
1/7/2024
Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha
Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki...
Kiongozi wa dhehebu, Paul Mackenzie anayekabiliwa na mashtaka ya kuhamasisha wafuasi wake zaidi ya 400 kujinyima chakula hadi kufa amekana mashtaka ya mauaji ya bila kukusudia Agosti 12, 2024...
KENYA: Wafanyakazi na Watoa Huduma katika Sekta ya Anga wametangaza kufanya Mgomo kuanzia Agosti 19, 2024 wakipinga kampuni ya Adani Airport Holdings ya India kupewa tenda ya miaka 30 kusimamia na...
Penye uzia penyeza rupia!
Kumbe mbwembwe zote zile za maandamano ya GEN Z huko Kenya nilidhani inatokana na hisia kamili za Wanaojiita Gen Z kumbe kuna mabwanyenye ambao inawezekana mirija yao ya...
Rais William Ruto apunguza mafao ya marais wastaafu kwa Tshs Billioni 2 kama sehemu ya kubana matumizi kulingana na bajeti mpya ya mwaka 2024/2025.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msimamizi...
Ifahamu textile manufacturing company iliyofungua kiwanda chao Kenya mwaka wa 2020. Sasa hivi imeajiri Wakenya 3,000. Kampuni hio ipo ndani ya special economic zone.
MAS Intimates Kenya Athi...
Serikali ya Marekani imeahidi kuipa Serikali ya Rais William Ruto Dola 550,000 kwaajili ya kuongeza Uwazi katika masuala ya Uwajibikaji na Kuzuia Rushwa nchini humo.
Wizara ya Mambo ya Nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.