Habari zenu pande ya Kenya?
Kama kuna mtu anajua mmiliki wa hili LORI amwambie dereva wake leo alitaka kuua watoto wa kwenye school bus maeneo ya Mizani ya Pongwe Tanga, Aliovateki kwenye kona...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema Polisi pekee hawastahili kulaumiwa kwa vifo vya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano ya 25 Juni, 2024 ambayo yalihusisha majengo...
Chaguo la kwanza,
Ni ama ajiuzulu nafasi yake kwa hiyari yake mwenyewe, kuepuka fedheha ya kubaduliwa na bunge kutoka kwenye wadhifa wa naibu Rais kutokana na tuhuma za kukiuka katiba...
Starlink now providing Nairobi City Hall with reliable internet with speeds ranging between 120 Mbps and 200 Mbps – The Starlink system provides both redundancy during primary network outages and...
Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama.
IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka...
Huyu kijana anaonekana ni Mkora tu, na inaonyesha analala chini ya madaraja au vibarazani mwa maduka au kwenye mitalo huku akijifunika ngumi.
Haijarishi yupo informed kwa kiwango kipi, pamoja na...
Shujaa Magufuli japo ametwaliwa yungali anaishi
Mfumo mzima wa aina ya uongozi sasa umechukuliwa na Serikali ya nchi jirani Ili kuwaridhisha Wananchi
Ardhi na Mali ya Umma iliyochukuliwa...
Changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi inaendelea kuleta madhara makubwa kwa jamii za Kenya, iwe ni mafuriko wakati wa mvua kubwa, au ukosefu wa chakula baada ya mafuriko kuathiri uzalishaji wa...
Rais Ruto baada ya kuwananga Ford Foundation na kuwatuhumu Kuwa walifadhili maandamano ya Gen Z sasa amegeuka na kuwamwagia Sifa kedekede
Ruto amesema Ford Foundation ndio inayoongoza kwa...
Siasa za Kenya kuna wakati zina shangaza sana sasa sijui ni kusalitiana au vipi?
Bunge la Kenya linataka kumkong'oa Naibu wa Rais wa Kenya Rigadhi Gachagua.
Naibu Rais huyo wa Kenya anakabiliwa...
T
Telemedicine Services in Murang’a County:
Kenya’s technological Initiative to Decentralize Healthcare
Access to healthcare is a great challenge for many residents in Murang’a County, Kenya...
Mwanafunzi Eli Kipruto 22 wa Jomo Kenyatta University Kenya kajishindia ksh 200M(karibu bilioni 4 za kitanzania) baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 17 kwenye kampuni ya betika.
Pamoja na...
Kwa wanaofuatilia Siasa za Kanda ya Ziwa mtakua pamoja namm kuiona pattern inayojichora ya Paul kagame,Mseveni na Ruto
Hatimaye Ruto kaingia kwene 18 za hawa jamaa saizi nayeye kaanza kupambana...
Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.
Huko Kenya Cheo...
Mahakama Kuu ya Kenya imesitisha uamuzi wa Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi wa nchi hiyo Douglas Kanja, wa kupiga marufuku maandamano ya umma yaliyopangwa na vijana wa Kenya katikati ya Jiji la...
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.
Jengo lenyewe...
Mchakato wa kukabidhi usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa kampuni ya Kihindi, Adani Enterprises, unaendelea, huku kampuni hiyo ikianzisha kampuni tanzu, Airports...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.