Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amefanikiwa kusajili jina lake la utani 'Riggy G' kama jina la apana ya biashara, yaani 'trademark' na hivyo basi ni marufuku kwa yeyote kutumia jina hilo bila...
Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, amejigamba kwa kudai kwamba yeye ndie pekee aliesababisha na kuchangia pakubwa Rais Dr. William Ruto akashinda uchaguzi wa 2022, la si hivyo bila jina lake...
Huenda haitazidi ijumaa ya kesho..
Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala...
Tunazidi kuwakumbukusha vijana wa Gen Z kuwa siku Ruto anajiuzulu mjue Katiba inamtaka Naibu Rais Dr Gachagua ndio awe Rais wenu. Hakika hali yenu itakua mbaya kuliko sasa.
Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa Kirinyaga ana nafasi kubwa mno ya kuteuliwa kua Naibu wa Rais Kenya, baada ya Rigadhi Gachagua kubanduliwa.
Swali ni je,
Rais, Dr. William Ruto atatimiza ahadi yake...
Maafisa wa polisi walizuiliwa kuingiza miili isiyojulikana katika Makaburi ya Jiji la Nairobi kufuatia mvutano kati ya serikali ya Kaunti ya Nairobi na Huduma ya Polisi ya Kitaifa (NPS)
Kulingana...
Wakenya walikusanyika kwa wingi na kuanza kuimba kwa nguvu "RUTO MUST GO." Mkutano huo ulilenga kujadili kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, na umeshuhudia wananchi wakionesha hasira na...
Wizara ya Elimu ya Kenya, kupitia Baraza la Kitaifa la Mitihani la Kenya (KNEC), imeanzisha sheria mpya za usimamizi wa mitihani ya KCSE (Mitihani ya taifa ya shule ya msingi) na KPSEA (Mitihani...
Wananchi mbalimbali wakitoa maoni na hoja zao wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua leo Oktoba 4, 2024
Aidha, Rigathi...
Wasalaam
Wakati majuzi Kenya imetoka kupoa kutoka maandamano ya Gen Z. Kabla hawajakaa sawa leo wapo kwenye moto mwingine wa Kumfukuza kazi DP Makamu wa raisi wa Kenya kwa Tuhuma mbalimbali...
Ruto wewe ni mkritsto
Unampenda Mungu achana na mambo ya kuharibu hioo nchi kaa chini malizana na naibu wako
Hakuna sifa mtu atatoa kwa kelele zinazoendelea huoo kenya Naibu Rais Gachagua leo...
The Zambia Civil Aviation Authority (CAA) has suspended all Kenya Airways flights into Lusaka as of early October 2024. The exact reasons for this decision have not yet been fully disclosed, but...
Naibu Rais mh Gachagua akiwa Kanisani amewaomba msamaha Wakenya wote kama kuna jambo amewakosea
Aidha Gachagua amemuomba msamaha Rais Ruto na Wabunge endapo aliwakosea jambo lolote
Citizen Tv...
Wakili na mwanaharakati Morara Kebaso wameshambuliwa na baadhi ya wananchi wenye hasira kali katika ukumbi wa ‘Bomas of Kenya’ wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu pendekezo la...
Inadaiwa hakuna mtu alikuwa anamjua au kufuatilia Siasa za Gachagua hapa Africa Mashariki
Lakini zoezi la impeachment limefanya Rigathi Gachagua afahamike Dunia nzima
Kwa sasa Gachagua Ndiye...
Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano.
Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia...
Wakuu,
Viongozi Afrika Mashariki wameingiwa na pepo gani?
Kutoka nchini Kenya mwandishi anayejulikana kwa jina la Bruce John ameripotiwa kuteswa na kulawitiwa mara baada ya kufichua uovu wa...
Nimekua nikifuatikia kampeni za Nasa na Jubilee kuelekea kwenya uchaguzi, na nimegundua kwamba muda mwingi sana hawa jamaa baada ya kuhubiri manifesto zao ni kunyosheana vidole. Je hivi nii hii...
Mlima ukiwa na Nguvu Moja ni lazima Rais atoke Ukikuyu utake usitake
Ni kama 2020 hapa Tanzania Kanda ya Ziwa yenye 35% ya Wapiga Kura wote Shujaa Magufuli aliiunganisha na kupata Ushindi wa...
Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang'ula ametangaza ushiriki wa wananchi katika hoja ya kumng'oa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua Oktoba 4, 2024 kutokana na tuhuma za matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.