KENYA: Daktari Mkuu wa Hospitali ya Karen, Dkt. Dan Gikonyo amesema Mwanasiasa Rigathi Gachagua alifikishwa kituoni hapo akiwa na maumivu ya kifua lakini anaendelea vizuri huku akifanyiw avipimo...
Wale wapenzi wa Katiba Mpya mnaweza kufuatilia impeachment ya Naibu Rais mh Gachagua
Mtajifunza mengi mazuri na madhaifu pia
Maseneta bado wamejifungia Kwenye kikao cha faragha ambacho...
https://www.youtube.com/watch?v=nEuQW0S_9D8
Kesi ya kumng'atua Naibu Rais Rigathi Gachagua inayoendelea kwa sasa mbele ya Seneti imefuatia kupitishwa kwa hoja ya kumwondoa madarakani na Wabunge...
Katika hali isiyotarajiwa, Naibu wa Kenya Rais Rigathi Gachagua ameripotiwa kuzidiwa na kupelekwa hospitalini zikiwa zimebaki dakika chache kabla ya kutoa ushahidi wake.
Wakili wake, Paul Muite...
Naibu Rais wa Kenya aliugua muda mchache kabla yakwenda kwenye baraza la Senate. Lakini pamoja na kuugua wajumbe wa baraza wameamua kupiga kura na kumwondoa bila kumsikiliza.
Je, Naibu Rais...
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ametoa onyo kali kwa Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga ambapo amesema Jumatatu ijayo, tarehe 3 Aprili, itakuwa ya mwisho kuandamana.
Gachagua amesema hayo huko...
The Ministry of Health has announced one more confirmed case of Mpox in the country, taking the total number of cases recorded so far to 14.
Health Cabinet Secretary Dr. Deborah Barasa, in a...
Deputy President Rigathi Gachagua has been impeached two years after taking the oath of office.
At least 53 out of 66 Senators voted Thursday night to uphold charges levelled against him by the...
Dhambi kubwa ya kwanza na kuapa mbele za Mungu hutoshirikiana na raila odinga
Wala handshake yoyote
Dhambi ya pili n kutangazia umma wa wakenya huo upuuzi ulifanyika hukoo nyuma hautafanyika...
https://www.youtube.com/live/KpOvDAfGm7o
Bunge la Seneti linaendelea na mjadala unaohusisha tuhuma mbalimbali dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua ambapo kuna uwezekano wa kupiga kura leo Oktoba...
MY TAKE; Wakati wenzetu wanazidi kutuacha kwa kuongeza matumizi ya sayansi na technology, "We Africa we over debating"
eliakeem
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyu Shahidi wa kwanza upande wa Bunge la Taifa , Mh Mwenge Mutuse ameshamaliza kesi. Inaonekana alitoa lawama bila kuwa na ushahidi Maalum.
Yani anaulizwa maswali na wakili wa Gachagua...
Afrika ni bara lenye vibweka sana imagine watu wanamchagua mtu kuwa Rais wa nchi halafu yuko bize kuwatafuatia wananchi wake kazi abroad na anafanya hivyo bila hata kuwa na chembe ya aibu.
Kuna...
Mahakama nchini Kenya imehalalisha uagizaji na ukuzaji wa chakula cha GMO, hatua hii ikipuuzia kesi iliyowasilishwa na chama cha mawakili nchini humo.
Katika uamuzi wake Mahakama ya Mazingira...
Christian and Muslim clerics unite in urging Ruto to cancel Adani deals, return to NHIF
Religious leaders under the umbrella of the National Council of Churches of Kenya (NCCK) and Supkem have...
Nauliza tu maana anaonekana ni Kijana mdogo halafu ni Wakili Lakini hajui hata ownership ya Kampuni inavyokuwa
Sijajua atafaidikaje kwa sababu Ushahidi wake mwingi ni kama kategeshewa vile
Au...
Naibu Rais wa Kenya Mr. Gachagua yupo hatarini kupoteza nafasi yake ama kwa kuondolewa kikatiba au kimafia!
Sasa asijichanganye akakubali kwenda ama kutumwa safari kwa kutumia chopa. Mifano hai...
Wakuu,
Leo Ikulu ya Kenya imeandaa iftar sasa kama kawaida hotuba za viongozi, Riggy G baada ya salamu kasema kwanza amefurahi kufika kwenye sherehe ile, yaani iftar kwake ni sherehe tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.