Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Usalama katika makao makuu ya DCI katika Barabara ya Kiambu umeimarishwa huku Naibu Rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua akitarajiwa kujitokeza kuhusiana na madai ya majaribio kadhaa ya kumuua...
0 Reactions
0 Replies
518 Views
Rejeeni hapa kuna link inayowarejesha kwenye fungamano la odinga na ruto achilia mbali wanasiasa wengine hata wale ambao hawajajitqikeza Ndo maana niliwaambia wananchi wanaweza jiaminisha au...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai DCI nchini Kenya imemwagiza naibu Rais Rigathi Gachagua kujiwasilisha katika makao makuu ya idara hiyo jijini Nairobi kuandikisha taarifa kuhusu madai ya...
0 Reactions
5 Replies
541 Views
Walinzi waliokuwa wanamlinda Naibu Rais Gachagua Hospitalini Karen wameondolewa baada ya MATOKEO ya Senate kumuondoa ofisini. Kwa sasa Rigathi Gachagua ni raia tu kama Eric Omondi. Pia soma...
16 Reactions
30 Replies
2K Views
Naibu Rais aliyeondolewa madarakani, Rigathi Gachagua, amethibitisha kuwa maafisa wake wa usalama waliondolewa alipokuwa amelazwa hospitalini Alhamisi, Oktoba 17. Akizungumza na vyombo vya habari...
1 Reactions
4 Replies
504 Views
Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki inao maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4! Wadau hamjamboni nyote? Familia bora kabisa kitaaluma. Niwatakie siku njema.
4 Reactions
9 Replies
880 Views
Baadhi ya Vijana wamezuiliwa kushiriki katika zoezi la uajiri katika Shirika la Vijana la Serikali la National Youth Service (NYS) kwa sababu ya kuwa na michoro kwenye miili yao hata baada ya kuwa...
5 Reactions
90 Replies
3K Views
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa amri ya kusimamisha kwa muda uamuzi wa Seneti wa kuunga mkono kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Jaji E.C. Mwita amechukua hatua hiyo akirejelea masuala...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Wafanyakazi wote wa Ofisi ya Naibu Rais wa Kenya wamepewa likizo ya lazima kuanzia mchana wa Leo 19/10/2024 === Kwenye taarifa Jumamosi serikali iliamuru jumla ya wafanyakazi 108 katika...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote...
7 Reactions
102 Replies
3K Views
Maafisa wa upelelezi kutoka Makao Makuu ya DCI-Nairobi wamemkamata Daniel Mbugua Njogu, anayejulikana pia kama Dan, katika makazi yake eneo la Kimbo. Njogu (30), anashtakiwa kwa kuwalaghai watu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katikati Hali ya kushangaza, mawakili wa Naibu wa Rais Mh Rigathi Gachagua wamekimbia kwenye bunge la seneti baada ya ombi lao la kuahirisha kikao Cha kumuondoa madarakani Makamu wa Rais mpaka...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora. Dah hawa Wanasheria ni noma...
3 Reactions
19 Replies
735 Views
Pamoja na kwamba Bunge la Kenya limemuondoa Madarakani Naibu wa Rais aitwaye Gachagua, Na kufikia hata kumpitisha Naibu Mpya aliyeteuliwa na Rais William Ruto, Lakini shughuli yote hiyo imezimwa...
9 Reactions
33 Replies
746 Views
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti. Kupitia wanasheria...
0 Reactions
4 Replies
835 Views
Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya aliyekua Naibu Rais Kenya Rigathi Gachagua tafadhali. Ukimsikiliza matamshi yake Kuna kitu utang'amua
4 Reactions
11 Replies
678 Views
Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula, ametangaza rasmi Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais kupitia Gazeti la Serikali, licha ya kuwepo kwa amri ya mahakama iliyotolewa ili kusitisha mchakato...
1 Reactions
9 Replies
556 Views
Wadau hamjamboni nyote? Historia imeandikwa nchini Kenya Naam Serikali inakwenda ongozwa na Rais na Naibu Rais ambaye hakuna hata mmoja atokaye kabila kubwa kabisa la Wakikuyu Kawaida Rais...
3 Reactions
13 Replies
494 Views
Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku. Jina la Kindiki...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Transparency amongst senators showing clearly their position. Hakuna UNAFIKI wala kuonyesha eti kulamba uchafu wa aliyeko madarakani. Nimeipenda kwa kweli. Nasubiri kwa hamu upigaji kura...
16 Reactions
76 Replies
2K Views
Back
Top Bottom