Consumers and manufacturers will have to wait longer to learn the fate of their electricity bills following the controversial Sh95 billion power transmission deal signed with Adani Energy...
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti ya Infotrack kuhusu wenye nafasi ya Kuwa Naibu Rais baada ya Gachagua kuachia ngazi umetoa Matokeo yafuatayo
1. Prof Kindiki 20%
2. Anne Waigiru 5%
3...
Naibu Rais mh Gachagua amesema endapo Seneti itakubaliana na Bunge juu ya kumuondoa Madarakani basi huenda Leo Ndio Jumapili ya Mwisho yeye kuingia kanisani akiwa Naibu Rais
Gachagua aliwaeleza...
Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya
Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote
Source: Citizen tv...
Hatimaye Rais Ruto amesema ataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa itakayokuwa na Mawaziri kutoka vyama vyote vya Siasa na Taasisi za Kijamii na Kidini.
---
Ruto To Form Inclusive Govt:
President...
Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada.
Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok...
Wajumbe wa Bunge la Seneti wamezuiwa kwa muda kusafiri nje ya nchi ili kuhakikisha Wajumbe wote wanashiriki katika kesi ya kumng'oa Naibu Rais Rigathi Gachagua bila usumbufu wowote. Bunge la...
Wakuu,
Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani.
~ Waliopiga kura ya hapana - 44
~ Ambao hawakuchagua kokote - 1
Tanzania tutachukua...
Kama mchambuzi wa siasa ndani ya Afrika mashariki unaweza kutoa opinion gani kwa yale yanaoendelea kutokea nchini Kenya?
Willium Ruto ameamua kuwa jeuri na nyang'au na hivyo kuiondoa kenya kwenye...
Matatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa.
Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua...
Rais Ruto amesisitiza hilo leo Alhamis 7/3/2024 kuwa ataendelea kuhakikisha sheria ya 2/3 ya jinsia imetekelezwa kikamilifu katika chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) na katika...
Kwa sasa, kuna mijadala inayoendelea kuhusu hatua ya kumuondoa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hatua hii imechochewa na malalamiko ya kisiasa na madai mbalimbali kutoka kwa wapinzani wake...
Parliament has asked the Energy Ministry and the Treasury to change tack and build some three power transmission lines under a public-private partnership (PPP) to ease pressure on the Exchequer...
Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote...
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua ameanza kujitetea mbele ya Wabunge nchini humo ambao wamekuwa wakijadili hoja ya kumuondoa madarakani, kwa tuhuma mbali mbali ikiwa ni pamoja na uhaini, kupata...
Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa.
Gachagua...
Tunasifia Katiba ya Kenya ni Bora lakini kiukweli ina Ujanja Ujanja mwingi sana ndani yake
Watu wanagawana keki ya Taifa kwa ukabila na wanasainishana Mikataba kabisa
Gachagua Leo ametoa Siri...
Ni kama historia inakwenda kujirudia kwenye siasa za Kenya. Ilianza kwa Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake, William Ruto kiasi cha kuharibu mambo kuanzia ofisini, kwenye kampeni na hata baada ya...
Naibu Rais, Rigathi Gachagua anatarajiwa kufika mbele ya Bunge la Kitaifa kwaajili ya kutetea nafasi yake (Unaibu Rais) dhidi ya hoja za kumwondoa Madarakani zilizowasilishwa na Septemba 26, 2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.