Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Mwendeshaji wa kituo cha kulelea watoto Kiambu afikishwa mahakamani kwa kutumia watoto kutengeneza video za ngono Mwanamke anayesimamia kituo cha kulelea watoto katika Soko la Wangige, Kaunti ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kenya imewasilisha Bunge la seneti mswaada wa kuongeza muda wa Rais Kutawala kutoka miaka 5 kwenda miaka 7 sanjali na kuunda nafasi ya Waziri Mkuu. Kenya ambayo chadema huwa wanaitolea mfano ni...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi. Tayari wabunge wapatao 242...
5 Reactions
77 Replies
3K Views
Barua ya usajili: Mwamba mwenyewe ndio huyu (mwazilishi): Meanwhile in Bongo:
13 Reactions
47 Replies
1K Views
Endapo muswada wa kumbandua Rigadhi Gachagua naibu wa Rais wa sasa utafanikiwa, unadani ni yupi kati ya hawa wanaotajwa, ana nafasi kubwa zaidi kukwaa nafasi hiyo muhimu serikalini? 1. Anne Mumbi...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Hayo yameelezwa na wabunge baada ya hoja maalumu ya kumbandua naibu wa Rigathi Gachagua kuwasilishwa bungeni mchana wa leo Oct 01.2024. Kiongoza wa wachache bungeni Mh.Junet Mohamed alitoa...
1 Reactions
16 Replies
723 Views
Corruption, bullying, undermining Ruto; 10 reasons why MPs want DP Gachagua gone Deputy President Rigathi Gachagua will face his moment of truth on Tuesday afternoon when the impeachment motion...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Baada ya wabunge 291 kuunga mkono hoja ya Makamu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua kuondelewa madarakani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kenya, Moses Wetang'ula ameidhinisha hoja hiyo kujadiliwa...
1 Reactions
1 Replies
962 Views
Hoja maalum ya kumwondoa ofisini Makamu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, imewasilishwa bungeni na Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mutuse Mwengi. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge Moses Wetangula...
2 Reactions
2 Replies
472 Views
Nelson Amenya, kijana aliyefichua mazungumzo ya siri kati ya serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group ya India kuhusu mpango wa kuchukua usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo...
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Pamoja na Katiba Mpya moto unawaka Kati ya Rais Ruto na Naibu wake mh Gachagua Gachagua sasa anataka Kiongozi wa Walio wengi Bungeni afurushwe Kwa sababu amemtukana --- Deputy President Rigathi...
1 Reactions
3 Replies
504 Views
Hii ni Kenya baada ya utekaji kukithiri. On Monday, September 30, police officers raided the office of Morara Kebaso, a strong critic of the Kenya Kwanza administration Morara's lawyers...
0 Reactions
6 Replies
615 Views
Gavana Abdullswamad Sharrif Nassir wa Mombasa anatuhumiwa kila kona kwa kutuma wahuni kumlawati mwanablogu mkosoaji wake Bruce John. Video ya mwanablogu huyo akifanyiwa madhila hayo imesembaa...
0 Reactions
5 Replies
366 Views
Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao...
2 Reactions
0 Replies
737 Views
Uingereza imekuwa ikipanua kambi zake za kejeshi nchini kwa kasi huku pia wakileta zana mpya mpya za kivita. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
73 Replies
10K Views
Gachagua impeachment motion to be tabled next week with 300 signatures collected National Assembly members are expected to table the impeachment motion against Deputy President Rigathi Gachagua...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Ni baada ya kuonekana akimuhujumu Rais, akihubiri na kuchochea chuki na migawanyiko ya kisiasa yenye mirengo kikabila na upendeleo wa watu wa kabila na eneo lake la Milima Kenya. Naibu wa Rais...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Kampuni ya mawasiliano Safaricom imefungua milango ya ushirikiano na kampuni ya mtandao wa satelaitii ya Starlink, ikiwa ni hatua ya kuimarisha teknolojia ya intaneti nchini. Mkurugenzi Mtendaji...
3 Reactions
3 Replies
475 Views
Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau...
2 Reactions
28 Replies
928 Views
Maafisa kutoka Wizara ya Afya wamelazimika kusitisha kikao ambacho kilikuwa kinakusudia kufundisha wafanyakazi walioteuliwa kuhusu Mfuko mpya wa Bima ya Afya ya Jamii (SHIF). Hii ni baada ya...
0 Reactions
3 Replies
361 Views
Back
Top Bottom