Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Baada ya Kenya kuendelea na msimamo Wake wa kufungia wananch Hali imezid kua mbaya baada ya watu kuanza kuanguka na kupoteza faham wakat wa kugombea chakula Pia katika mgao huo Kuna baadh...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Tazama video jinsi wabongo 15 wametiwa mbaroni kwa kuvuka border ya Kenya kinyume cha sheria. Kwanza Wabongo wengine wametolewa mbio hehehe. Polisi wa Kenya hawatambui uraia wala nini.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. Waandishi hao ni Clinton Isimbu (22) na Kaleria Shadrack (23) wa...
4 Reactions
190 Replies
15K Views
Wafikirie wananchi wako ndugu, hali ni mbaya sana.
2 Reactions
6 Replies
957 Views
Hilo limeamuliwa na mahakama kuu ya USA, kwamba walipwe hela ya Kenya trilioni 1.2 Aki ya nani hiyo hela ni ndefu sana.... Sijui kama majirani ambao pia waliathirika na wao watapa kitu, The US...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu zangu, ''Ajizi nyumba ya njaa'', Kagame na Museveni wakati wanajadiliana mkakati wa ''lockdown'' ndani ya nchi zao ili kupambana na Corona walikuwa wanaendelea na mazungumzo binafsi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali imetangaza kuwa madereva 53 waliopimwa mpakani ndani ya saa 24 zilizopita wamekutwa na CoronaVirus. 51 Ni kutoka Tanzania na wawili wametokea Burundi. Aman amesema madereva hao wamezuiwa...
1 Reactions
82 Replies
8K Views
Wakati nchi za Afrika, zikipewa rukhsa na G20 ya kutolipa deni mwaka huu, Kenya imepinga wito huo. Kenya imesema itaendelea kulipa deni kama kawaida. Hii ni kwa sababu wito huo unakuja na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wananchi wa Kenya huko maeneo ya Garisa, wameingia mitaani na kuchoma matairi wakipinga kufungiwa ndani na kukosa chakula kwa sababu ya ugonjwa wa Corona
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema...
0 Reactions
85 Replies
6K Views
Hii lockdown ya wakenya sasa inaanza kuwapeleka pabaya.
1 Reactions
2 Replies
749 Views
Rwanda has secured a dry port in Kenya’s Naivasha town easing Rwanda’s access to the port of Mombasa for exports and imports. The dry port located about 560 kilometers from Port of Mombasa will...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Kenya has recorded 57 new coronavirus cases marking the highest single-day Covid-19 infections recorded so far in the country. In a statement issued on Sunday, Government Spokesperson Col. Cyrus...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
JPM at church today MY TAKE Lets see how long will this deadlock last, mind you all the Kenyan goods to SADC region pass through Tanzania's territory! #Akilizahandshake# CC: Zigi...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Huu ndio muendelezo wa mapigo ya kuipuuza kuibeza na kuiita Corona kaugonjwa kadogo. Sasa hasara itatuandama sisi sote, wakenya kwa watanzania, baada ya rais Kenyatta kufunga boda kati ya Kenya na...
3 Reactions
226 Replies
18K Views
A 55-years-old man who tested positive for the new coronavirus was on Wednesday night laid to rest in a burial supervised by medics and the police at Kagawet village in Bomet A handful of family...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Huku idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona ikiendelea kuongezeka nchini, wakaazi wa mitaa ya Mabanda ya Mukuru kwa Njenga na Mukuru kwa Reuben wanalalamikia ukosefu wa chakula licha ya serikali...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Vipimo vya Uganda vilivyopima dereva wa Kenya vimeonyesha kwamba ameambukizwa virusi vya Corona, lakini alivyovuka mpaka na kuingia Kenya siku hiyo hiyo alipimwa na mamlaka za Kenya na kuonekana...
2 Reactions
84 Replies
5K Views
MY TAKE Atakuja mpaka kwako kujibaraguza ila atafunga mpaka kwa kisingizio cha coronavirus huku akivunja nyumba za wananchi wake kipindi cha maambukizi #Akilizahandshake# CC: Zigi Rizla...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…