Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Hawa majirani au "mashemeji" zetu wanazidi kuporomka tu aisee. Moody’s revises Kenya’s ratings to negative May 8 2020. Kenya’s huge borrowing requirements has pushed down the country’s rating...
4 Reactions
4 Replies
773 Views
Naomba kwamba wale wanaopenda kuharibu nyuzi kwa kuleta mapishano ya TZ vs KE watulie kidogo. Kuna jambo moja ambalo nimegundua kuhusu baadhi ya wachangiaji wa TZ kwenye JF (Haswa kwa majukwaa...
23 Reactions
47 Replies
5K Views
Mchungaji James Ng'ang'a wa nchini Kenya, anetishia kuwafukuza waumini wake watakaokataa kutuma sadaka kila jumapili kwa njia ya Mpesa. Mchungaji aliamua kuanzisha ibada zake zinazooneshwa live...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni ukweli kwamba jina la Magufuli limezidi kufahamika zaidi duniani tangu ulipozuka ugonjwa wa Corona na kuingia hapa Africa na hususan Tanzania. Magufuli aligonga vichwa vya habari duniani kwa...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
WANASAYANSI nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio dawa tatu. Majaribio ya chanjo itafanyiwa binadamu ili...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hali imekua balaa mpakani, yaani Wakenya wote wanaoishi maeneo hayo wamekua makini kupita maelezo, hakuna kuingia kinyemela tena, Wakenya wanaoikimbia Corona Tanzania lazima waingie kwenye...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kenya has recorded 14 new Covid-19 cases, raising the total to 621. Health CAS Rashid Aman on Friday said 922 samples were tested in 24 hours. Ten of the new cases are from Nairobi, three are...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katibu Mkuu, Rashid Aman ametangaza wagonjwa wapya 25 wa COVID19 ambapo 22 ni Wakenya, 1 Tanzania, 1 Uganda na 1 ni raia wa China. Kenya ina jumla ya visa 607 mpaka sasa. Vilevile, wagonjwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa akali watu 260 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afrika Mashariki za Kenya, Rwanda na Somalia...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Bado ninapata ukakasi na kushindwa kuelewa waafrica hasa viongozi wanaosisitiza sala na maombi katika kupambana na Corona, tena wakisisitiza zaidi kuoamba Mungu aliyeletwa na mabeberu ambao kutwa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kenya walamba $739 million sawa na 1.7 trilion Tanzania Sh ili kuwasaidia kupambana na Janga la Covid 19. ======= The IMF approved the disbursement of US$739 million to be drawn under the...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Kule Somalia kirusi kinatamba na kuathiri wengi, hakichagui kama wewe shababi mvaa ndala wala nini, inaogopesha sana ukizingatia tunachangia mpaka mrefu na pia jamii ya Wasomali, hii inawezakua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Today we have 47 confirmed cases of COVID-19 bringing the total to 581. 32 are from Mombasa, 11 from Nairobi, 2 from Mombasa, 1 from Kiambu... We have lost 2 people in Mombasa bringing the total...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Hello our southern neighbors, I have so many questions in my mind to ask you but unluckily in this threa I'm only going to focus on one question. Why do many prominent people in your country die...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Utafiti mpya umeonyesha kuna njia inaweza kufanya mbu wawe hawana uwezo wa kuambukiza mtu malaria. Watakua ni kero tu wakikuuma lakini watakua hawazambazi tena malaria. Tuombe Mungu hawa watafiti...
2 Reactions
1 Replies
721 Views
Kifo cha mtoto wa Kerecho Breweries kilichotokea huko Lamu hivi majuzi kinatokana na Ugonjwa wa Corona na sio ajali kama ambavyo Serikali ya Kenya inajaribu kuficha Vifo vitokanavyo na Corona...
7 Reactions
101 Replies
8K Views
Baada ya kuona kasi ya ongezeko la wagonjwa na vifo ikiongezeka kila siku, na hakuna jipya zaidi ya kupima na kutangaza matokeo, wakenya wameanza kumtolea uvivu Waziri wao wa Afya na kusema hana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kenya ni nchi ya ajabu sana, hawajui nini wanataka. Uganda na Rwanda zimeanza kulegeza vikwazo baada ya kujiridhisha kwamba hakuna tena maambukizi ndani ya jamii "local transmission", Kenya imeua...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Today I celebrate the birth of devolution government in Kenya. The devolved government has ensured increased the rate of development in entire Kenya. Health sector has improved thanks to...
4 Reactions
6 Replies
699 Views
Tanzanian opposition MP Tundu Lissu (Left) and Kenyan Human rights activist Maina Kiai pose for a photo. September 19, 2019. Famous human rights activist and journalist Maina Kiai, was on...
1 Reactions
0 Replies
587 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…