Ikulu ya Rais wa Kenya William Ruto imwekwa chininya ulinzi mkali na hakuna mtua nayeruhusiwa kusogea karibu na eneo hilo kufuatia maandamano yanayoendelea nchini humo leo tarehe Juni 27, 2024...
Gachagua amevilaumu Vyombo vya Usalama Kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi Rais Ruto na hatimaye kusababisha Vifo vya Watoto Wasio na hatia
Gachagua amesema Hata Polisi wamelalamika hawakupewa...
-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake
-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP
-Njia ya Dharura...
How Ruto and Uhuru might become ICC fugitives before being captured.
If Walter Baraza is not handed in, William Ruto will be detained at The Hague. What about sacrificing Baraza to buy time...
Rais Ruto amewaambia Watumishi wa Umma wajiandae kisaikolojia kutimiza matakwa ya Wananchi ambayo ni kupunguza Bajeti ya Serikali
Ruto anesema hatua ya kwanza ni kupunguza Matumizi ya Serikali...
Serikali ya Tanzania na Rwanda kupitia mawaziri wanaohusika na ujenzi wamesaini makubaliano ya kuanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Kigali ifikapo Oktoba mwaka huu.
Tukio...
Mahakama Kuu yaiamuru serikali kusitisha mara moja zoezi lake la kupeleka wanaeshi mtaani ili kutuliza maandano.
Hili limekuja baada ya Ikulu kutoa taarifa kuwa Rais Ruto amekataa kusaini Muswada...
Huyo ndiye aliyewapa wa kenya katiba bora tofauti na vijitabu vya mataifa mengine. Baada ya kumaliza m.a ya uchumi huko uingereza alirudi kufundisha kabla hajatimukia kwenye siasa ambapo baada ya...
Rais Ruto amegoma kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Hili limetokea baada ya maandamano yalikuwa yakiongozwa na Gen Z kufanyika zaidi ya wiki nchini humo. Ikulu imeripoti kwamba Rais...
Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!
Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa...
Waandamanaji wamesema wanatarajia kurejea mtaani kufanya maandamano leo Juni 27, 2024 ikiwa ni siku moja tangu Rais William Ruto atangaze kuwa hatasaini Muswada wa Fedha ambao ndio uliokuwa chanzo...
Sakata la Gen Z linatufunza mambo mengi yalivyo katika Tawala za Africa mashariki
Spika Dr Tulia aliwahi kusema Rais ndio kila Kitu
Chadema wakapinga Sana na kutolea mfano Spika wa Kenya hawezi...
Ndio maana kila siku ninasemaga Wakenya wanayo safari ndefu sana ya kujitambua kwa sababu wamekubali kuwaweka wazungu kwenye vichwa vyao.
Sasa hivi huko mitandaoni utawasikia Wakenya "...
US Gov't Calls President Ruto Over Kenyan Police Violence
United States Secretary of State Antony Blinken has emphasized that Kenyan police need to exercise restraint and refrain from using...
Kizazi kipya cha waandamanaji vijana wa Kenya waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 kimeingia barabarani na kulazimisha serikali kubadilisha muswada wa wabunge uliopendekeza kodi ambayo haikuwapendeza...
President William Ruto of Kenya today announced that he will not sign the controversial Finance Bill 2024 and he will withdraw it. He was addressing the nation after deadly protest in which more...
President Ruto Denies Extra-Judicial Killings, Confirms 6 Deaths, 14 Injuries In Protests
President William Ruto has announced that a total of six people lost their lives during the anti-Finance...