Shirika la Uchunguzi la Mtandao la NetBlocks limethibitisha kuwa Data ya Mtandao ya moja kwa moja inaonyesha kuna usumbufu mkubwa wa muunganisho wa Intaneti Nchini Kenya, ikiwa ni siku moja pia...
Mambo yanazidi kuwekwa wazi huko Kenya baada ya Mbunge mmja kudai kwamba Walihongwa Shilingi Milioni 41 na Serikali ya Ruto Ili Kupitisha Msaada wa sheria ya Fedha unaolalamikiwa na raia wa Nchi...
Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok.
Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
1. Tujikumbushe Ruto alikua Kiongozi wa vijana KANU. Pia Uhuru Kenyatta aliteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa KANU mwaka 2002. Mwai Kibaki aliyewahi kuwa Makamu wa Rais akatangazwa mshindi.
2...
1. Maandamano na Migomo japo vinaweza kwenda pamoja ila mara nyingi Migomo huleta suluhisho la haraka na mara nyingi Positive kuliko Maandamano.
2. Eg. Migomo ya marubani Kenya airways...
KWALA SATELITE CITY
https://africa.businessinsider.com/local/markets/see-the-tanzanian-project-expected-to-provide-1000-jobs-with-over-200-industries/10bve6s.amp
See the Tanzanian city project...
Nimejipa likizo kufuatilia bunge la Bongo
Nimezipenda Siasa za Kenya Wabunge wa Kenya KWANZA wanaogopwa kama ukoma kwenye Jamii
Rais Ruto sasa awakumbatia Gen Z
Mlale Unono 😃😃😃
Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya mh Willy Mutunga ametimba ofisi ya DCI kuwatetea vijana wa Gen Z ambao wanashikiliwa na Polisi
Mutungi amesema hali itakuwa mbaya zaidi pale Wazazi watakapoamua...
Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa
Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi...
Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali
Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Ahsanteni 🐼
Nakumbuka zili zuka habari na minong'ono mingi ya mabwana hawa wawili.
Ghafla waka pewa cheo cha Uaskari, mara tafrija zisizo eleweka.
Skendo za raisi wa kipindi kile, sijui mwanae au mkewe naye...
Hawa Watoto wa Gen Z ni hatari kwa kweli yaani hawaogopi kabisa polisi
Wamezingira Kanisa huku Rais Ruto akiwa humo ndani anaabudu
Inatisha sana, kibongobongo tungesema hawa Watoto wetu Wana...
UPDATE:
KENYA: Wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini humo wameingia Mitaani kupitia Maandamano ya kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha unaolamilikiwa wakidai una vifungu vyenye Kodi kandamizi...
Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani ameyaponda maandamano ya vijana wa Gen Z na kudai hayajabalisha chochote
Kimani amesema walioandamana siyo Wawakilishi halisi wa wakenya Kwani ni watoto...
Kenya Airways has introduced three non-stop flights from its hub at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Cape Town, South Africa. Initially, the airline operated seven weekly flights...
Well…well…well!
It’s deja vu all over again 🤣.
This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point].
Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu...
Wakati nikiutafakari umasikini wa Mwafrika na vipi tutajikwamua kutoka hapa tulipo nakutana na mauzauza ya wananchi wakenya wanao andamana kisa ongezeko la kodi katika bidhaa mbalimbali. Nimekaa...
Binadamu ni akili inayoishi ndani ya mwili! Na akili inahitaji elimu bora ili kuikomaza vizuri. Siasa na serikali ni mifumo ya kijanja janja sana. Inahitajika akili iliyokomaa kuweza kukabiliana...
Mchekeshaji na Mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita nje ya Bunge la Kitaifa, akipinga mswada wa fedha 2024 ulioshuhudia maandamano makubwa jana.
Omondi alifika nje ya...
Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.