https://www.youtube.com/watch?v=HBNa9fVrapk
Waandamanaji wanaendelea kuandamana kwa kuwasha moto katika Barabara ya kuelekea mzunguko wa Holy Basilica, karibu na Majengo ya Bunge.
Licha ya...
NAIROBI: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana, wakati akisubiri kupelekwa hospitali na ambulensi, mara tu baada ya kuumia. Pia, soma: LIVE: Yanayojiri Maandamano Kenya kupinga Mswada...
Ingawa wakati mwingine Watanzania na Wakenya hushambuliana kwenye mitandao ya kijamii, haimaanishi kuwa ni maadui. Utani wao ni kama ugomvi wa watoto wanaofuatana kuzaliwa.
Linapokuja suala la...
Rais wa Nchi Jirani amefurahishwa na kitendo cha Wananchi Kujadili Ongezeko la Deni la Taifa na Kodi
Rais huyo amesema hiyo inaonyesha jinsi Wananchi Wanavyojitambua na Ukomavu wa Demokrasia...
Kanuni ni zile zile kwenye uchumi na hata kwenye maisha ya kawaida.
Ili ujenge uchumi wako mfukoni unahitaji kukusanya mapato, kubajeti matumizi na kidhibiti upotevu na matumizi holela ya Fedha...
Waziri wa Fedha wa Kenya amenusurika kupigwa na Mmachinga ( juakali) mara Baada ya kumaliza kusoma Bajeti na Kutoka nje ya Bunge kupiga picha na Wasaidizi wake
Police walifanikiwa kumkamata...
Tanzania tuna jambo la kujifunza namna ya kuibana serikali iachane na kodi kandamizi zinazopelekea maisha kuwa magumu.
Baadhi ya maeneo ambayo kenya wamekuwa wakali ni kodi kwenye mafuta ya kula...
Shirika la reli linalosimamia usafiri wa mfumo mpya wa SGR linatazamia kuongeza treni baada ya wasafiri kuwa wengi hadi kupitikiza walizokua wametoa mwanzo. Ina maana kwamba Wakenya wamepokea huu...
Hili tukio limetokea jana.
NAIROBI, Kenya, Jun 18 – A police officer lost both his fore arms Tuesday during the anti-Finance Bill when a teargas canister exploded on his hands.
Police said the...
Uganda has announced the start of construction of the Standard Gauge Railway (SGR) in August, in a decision that revives hope for the extension of Kenya’s Sh327 billion project whose viability was...
Mbunge kutoka Mberee Kaskazini, bwana Geoffrey Ruku amewasilisha Bungeni, muswada utakaowezesha Wakenya kufungwa kwa mwaka mmoja, faini ya Tsh. 2,000,000 (Ksh. 100,00) au vyote kwa pamoja kw...
More than 200 protesters have been arrested in Kenya’s capital, Nairobi, in ongoing protests against proposed tax hikes in a finance bill that is due to be tabled in parliament.
Civil society...
Ruto ndio Rais anaongoza kusafiri sana hapa Afrika ,akifuatiwa na Rais wa Nigeria.
My Take
Labda anawatafutia kazi ma Hustlers 😁😁
=====
Baada ya Rais Ruto kuwa na ziara nyingi sana nchi za nje...
Wakenya sasa wanamwita Rais wao kwa jina la Flying President au Mr Tangatanga kutokana na Muda mwingi kwa Safarini
Hivi Karibuni Rais Ruto alikuwa Marekani kwa Mwaliko wa Rais Biden kisha...
Kampuni ya usimamizi wa fedha ya Marekani, BlackRock Inc, inauza uwekezaji wake wa hisa katika masoko yanayoibuka na masoko ya mipakani - ikiwa ni pamoja na Kenya na Nigeria - ikinukuu changamoto...
Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu
Wewe...
Shabiki kutoka Nchini Kenya amefunguka kuwa Msanii wa BongoFleva "DiamondPlatnumz" hajui kuimba ambapo amedai kwamba Msanii huyo anabebwa sana na Challenges za Watu.
Huyu mwamba atakuwa na chuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.