Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Even in the midst of a crisis such as the one brought about by Covid-19, there are positive stories to tell, such as Ms Ogutu Okudo’s. She is on this year’s “Forbes Africa 30 under 30” list — the...
2 Reactions
1 Replies
692 Views
Shughuli ya kupima inaendelea, pima pima pima..... itasaidia kugundua hali ilivyo mtaani badala ya kukaa tunajidanganya. ===== Health Chief Administrative Secretary (CAS) Mercy Mwangangi, on...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeipata hii video kwenye uzi mwingine, Watz wanaopiga vifua huku wakisema tuwaige wao kwamba wana mbinu bora za kuidhibiti Corona, waitazame hii video, waziri anakiri kuhusu uwezo wao kuwa...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Fuel prices in Kenya have dropped by up to Sh. 18 per litre in the latest Energy and Petroleum Regulatory Authority monthly review. Super Petrol, Diesel and Kerosene have decreased by Sh. 18, Sh...
1 Reactions
1 Replies
640 Views
Watu 35 wanaodaiwa kuingia nchini kinyemela wakitokea nchini Kenya wamewekwa karantini kwa siku kumi na nne huku serikali wilayani Tarime mkoani Mara ikifunga maegesho yote ya waendesha...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuna video, Watanzania wanachekelea na kuisambaza kwenye mitandao ya mdada anayesemekana ni Mkenya aliyetelekezwa na wenzake baada ya kuonekana na dalili za Corona. Nawashangaa sana Watanzania...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Tumewapa amber rutty lakini bado hamridhiki tu, ni nini shida?? Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza visa vipya 11 vya #Covid19 na kufanya idadi ya visa nchini humo kuwa 208 Mmoja kati ya waliothibitikakuwa na #CoronaVirus ni mtoto wa mwaka mmoja. Sampuli 674...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa idadi ya waathirika imetimia 189 hii ni baada ya kupima watu zaidi 2,000, idadi ya Wakenya waliopona imeongezeka na kuwa 22 sasa. Kasi ya kupima inaendelea, hivi karibuni watu watapimwa...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Naangalia Azam news muda huu.raia wa Kenya (mkikuyu) kwa mujibu wa utambulisho wake mwenyewe.anaeleza kwamba alikuwa na wenzake baada ya kuzidiwa na homa wakamtelekeza hapo.
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Port operations at Mombasa remain steady despite a small variance on the weekly arrival of vessels, occasioned by a slow down in the global supply chain over Coronavirus. Manufacturing and...
2 Reactions
5 Replies
704 Views
Attention all Kenyan Dog lovers and breeding kennels,the annual Kenya police dog auction(In Langata ) has been postponed. This gives you time to prepare your wallet and vocal chords for this...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakenya wamechangamkia vita dhidi ya Corona Virus... Kenyatta University and GearBox Kenya are separately testing locally designed and made ventilators ..
1 Reactions
0 Replies
477 Views
Kumbe mzaha mwingi tu. Oh tunapima nchi nzima sijui nini, halafu mambo yenyewe ni fujo tupu, duh.
1 Reactions
60 Replies
4K Views
Private sector wage resource war against Coronavirus Corporate heavyweights in Kenya are dedicating huge chunks of their annual social responsibility budgets to help the country fight coronavirus...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Mwendo ni ule ule, kasi ya kupima wengi, hadi sasa wamepimwa zaidi ya 8,000 Waliopona sasa ni 40 ===== Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe, on Monday, April 13, announced that 11 new...
1 Reactions
5 Replies
852 Views
Constable Caroline Makena is a one-of-a-kind Administrative Police (AP) officer, primarily due to her commitment to effect change. In the wake of the Coronavirus pandemic, and countless calls by...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
This rumor has become so elusive, we need to get DOD insiders to give info... Is KDF operating the MI-28 Havoc Attack Helicopter ?? I have seen many defense articles stating so, the rest of the...
1 Reactions
140 Replies
9K Views
Kasi ya kupima imeendelea kuongezeka, ikumbukwe pia waliopona wametimia 24. Hadi sasa tumepima 7,449 Six more people have been confirmed positive for coronavirus from 766 samples tested in last...
10 Reactions
93 Replies
5K Views
Hii hali inaanza kutisha na kuofya. Hivi wakenya mnaitafuta nini Tanzania? ==== Wakazi wa Holili mkoani Kilimanjaro wametoa taarifa kuhusu raia wa Kenya (Mkikuyu) kutelekezwa mpakani Makuyuni, na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…