Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Katika juhudi za kuendelea kupambana na Corona, itakua sharti kwa kila Mkenya kuvaa barakoa wakati akiwa nje kwenye shughuli zozote zile, hivyo serikali inajiandaa kuzigawa kwa kutumia mawakala wa...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Wagonjwa wengine saba wamegundulika kuwa na Covid -19 nchini Kenya, na kuongeza idadi ya kesi zilizothibitishwa nchini humo kufikia 179. Katibu Mkuu wa Afya Dk. Mercy Mwangangi, katika mkutano na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Medical practitioners at a Coronavirus isolation and treatment facility in Mbagathi District Hospital on Friday, March 6, 2020. SIMON KIRAGU KENYANS.CO.KE As the number of confirmed Covid-19...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Nchi ya viwanda... KEMRI lab scientist Dr Edith Koskei displays coronavirus samples obtained from the public at the Sample Management and Reception facility in Nairobi on March 24, 2020...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Wahudumu wa afya wote kwa maelfu, iwe madakatari au wauguzi, iwe hospitali binafsi au za umma, wote watapimwa Corona kuhakikisha wako salama wakati wanatoa huduma, kisha pia wale wanao wahudumia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Yaani huu uzembe wa kishenzi upigiwe makelele, wageni sita kutoka Tanzania wameingia Kenya na mpaka wanafika Vihiga, maeneo ya ndani sana Kenya ndio wanakamatwa na kuwekwa karantini, upumbavu wa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mbowe ameeleza vizuri sana, sijui mnapata wapi ujasiri wa kuchekelea juhudi za Kenya, mskilizeni huyu mtajifunza kitu.
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo tena Kenya imeripoti visa vipya 16 vya maambukizi ya Corona, huku Rais Uhuru Kenyatta akikumbuka shuka wakati kumekucha, ameagiza wakenya wote kuvaa barakoa wakiwa nje za nyumba zao. Jambo ni...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Huyu waziri alisemekana kufichwa kwenye hospitali isiyo maalum kwa shughuli za Corona huku akiwaambukiza watu, kuna Watanzania walikesha humu wakikanusha kwamba hamna chochote kama hicho, ila...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaani wanatumia njia za panya kuepuka "lockdown". Virusi vya corona ndio vimedhibitiwa hapo? Eti oh tunapima Covid-19 nchi nzima, mawee! ====== President Uhuru Kenyatta's order barring...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaani ni kama uende kwa watu waliofiwa, badala uwafariji unawapokeza kibakuli cha msaada. Nimeikuta hii inajadiliwa na Watz kule kwenye jukwaa la siasa, ila nikaona vyema tuijadili na huku JF...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Suleiman Shabhal and Hassan Joho inspecting the newly installed public spray booth at the Likoni Crossing Channel in Mombasa. 6th April 2020 FACEBOOK Mombasa Governor Hassan Joho has today...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Facebook Inc’s WhatsApp tightened message forwarding limits on Tuesday, restricting users to sharing forwarded content one chat at a time after a jump in messages touting bogus medical advice...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Waziri amekua akieleza kama ilivyo bila kuremba, jana ametoa tahadhari kwa vijana wakiendelea kupuuza na kuchukulia poa hiki kirusi, wataisha kuwazika wazazi wao wote...
4 Reactions
119 Replies
8K Views
Waswahili husema mwenye maneno mengi, hana nguvu za kupigana. Kenya wamezidi maneno kila wanapizidiwa lazina watafute kisingizio. Ukweli ni kwamba Kenya wanazo maabara 2 tu zenye uwezo wa kupima...
10 Reactions
134 Replies
10K Views
Hakuna jiwe litakalosalia bila kuguswa, mapambano yanazidi kupamba moto kila kona ya nchi, japo Jirani wetu wa kaskazini anajaribu kupenyeza watu wake ili kutuletea virusi, lakini tutaendelea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…