Broke Kenya now turns to donors for Sh122b : The Standard
Majirani wenye GDP ya kwenye makaratasi sasa hii ni aibu, yaani wao kila tatizo kwao wanalitumia kama fursa ya kuombaomba.
Hili tatizo la...
President Uhuru Kenyatta has apologised for the excessive force used by police officers at the start of the nationwide curfew that began last week.
This follows a public outcry over police...
Hii itachangia namba za waathirika kupandisha kw ajili ya uwezo huu wa kupima watu wengi kwa pamoja, sema pia itasaidia kupunguza kirusi kasi ya kusambaa, maana watu wengi watapata fursa ya kujua...
Rais amelazimika kuomba msamaha baada ya Wakenya kupaza sauti sana......ila ndugu zangu Wakenya tutii sheria bila shurti, wale mnaojifungia kwenye vlabu vya pombe usiku na kunywa kimya kimya...
Ninadhani hili litakua ni fundisho kubwa kwa wakenya kutegemea chakula cha kununua badala ya kuzalisha chakula ndani ya nchi. Tukiwaambia wanasema wanapesa ya kununua hakuna umuhimu wa kuzalisha...
Salaam wakuu.
Binafsi sifurahishwi na nyuzi mpya mpya humu kutoka kwa ndugu zangu watanzania wakifanya mzaha hatua za serikali ya Kenya juu ya kuzuia kusambaa kwa Corona.
Hata kama Tanzania...
Hivi hivi tukomae tu, hiki kitu kinaponwa sio kifo moja kwa moja.....
====
President Uhuru Uhuru Kenyatta has revealed that two more Kenyans have been cured of Coronavirus.
Speaking to the two...
A Mombasa family is in agony over their son who died in the United States after being infected by coronavirus at work.
The family of Bishop Elisha Juma and Reverend Mary Juma of Kenya Assemblies...
Tanzania:
Maafisa wa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto nchini wameendesha zoezi la kuppuliza dawa katika mitaa ya Jiji la Dar kama sehemu ya kupambana na ugonjwa wa Covid19.
Kenya:
Chaos at...
Ni wazi Kenya inaamanisha kwenye vita dhidi ya virusi hivi, tumefunga mipaka, tumefunga viwanja vya ndege, kila mtu abaki kwao, iwe wazungu au hata majirani, kila mmoja apambane kinyake huko huko...
Why Kenya is Miles Ahead of Tanzania in the Fight Against Coronavirus
Hii ndio hali ilipofikia kwa jirani wetu, kwamba lazima wajaribu kujiliwaza hata Kama kwake mambo yanaharibika. Japo Kenya...
The Ministry of Health has announced 9 more cases of coronavirus in Kenya bringing the total to 59.
According to Chief Administrative Secretary Dr. Mercy Mwangangi, tracing of contacts of the 59...
Waziri wa Afya ametangaza kuwa Kenya imepata visa 8 zaidi vya walioambukizwa Virusi vya Corona na kufanya jumla ya waliopata kuwa 50
Katika walioambukizwa 34 wanatokea Nairobi, 6 wanatoka Kilifi...
The government of Kenya has announced plans to develop an industrial park powered by geothermal energy in Nakuru County Kenya. Geothermal Development Company (GDC) Board Chairman John Njiraini...
President Uhuru Kenyatta on Monday, March 30, held a historic meeting as he stepped up his efforts to combat the spread of Covid-19.
The president was joined by 5 other African leaders namely...
Hii ni dalili nzuri sana, kuona rais Uhuru Kenyatta anaanza kusikikiza mawazo ya watu wenye akili na kuachana kusikiliza mawazo ya wapambe wake ambao wengi hawana uwezo wa kufikiria.
Kama...
Huyu jamaa anazungumza kwa hisia kali sana, amejitoa muhanga haogopi lolote, hapo kuna jamaa alimkaribia akashituka kidogo akidhani ni polisi amekuja kumcharaza...
Ni mojawapo wa jitihada za kujichimbia dhidi ya kiama kinachokuja, wenzetu wa Tanzania humu JF wametukana kila hatua tunayofanya, wamesahau hata maombi ambayo waliambiwa wafanye. Sisi tuliambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.