Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Hapa sasa ndio unagundua ubora wa vituo vya afya kwenye nchi, sio majengo tu, Kenya inaendelea kuongeza vituo vinavyopima Corona ambapo itasaidia sana katika kugundua na kuwatenga wanaoumwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wizara ya Afya ya Kenya imesema kwamba idadi ya watu wenye virusi nchini humo inategemea kuongezeka kwa kasi sana na kufikia watu 10,000 ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kutoka sasa, hii itakuwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kenya lacks enough Covid-19 testing kits, says Jubilee MP Wakati Kenya ikiripoti ongezeko kubwa la maambukizi ya Corona na vifo kufikia watu 2, tatizo la upungufu wa vifaa vya kupimia watu wenye...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Kenya inazidi kupiga hatua za kujichimbia ili kukabili kiama kinachokuja, majirani endeleeni kubeza na kuchekelea hizi hatua. ======= State seeks to ensure food security in Covid-19 war The...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama wapo kwenye LOCKDOWN vile vipimo hapana..wamevunja Sheria coz kwenye lock down police hawatakiwi kutumia miguvu Kama Ile. Kama wapo kwenye CURFEW then ninsawa kuwacharaza zile bakora wananchi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Two patients out of the 31 who have tested positive for the coronavirus in Kenya are in critical condition and admitted to the Intensive Care Unit (ICU), Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nikiwa hapa katika viunga vya jiji la Nairobi nimejaribu kupata maoni kutoka wa watu mbalimbali ambao nilitaka kufahamu kuhusu sakata la Polisi kupiga watu siku za hivi karibuni na jinsi suala...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Familia moja nchini Kenya yataka haki itendeke baada ya kifo cha Khamisi Juma Bega (49), bodaboda ambaye alipigwa na polisi hadi kufa. Inadaiwa Khamisi alipigwa na maafisa wa polisi wakishinikiza...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Msemaji wa Serikali ya Kenya. Kanali Cyrus Oguna amesema suala la serikali kusitisha ulipaji kodi ni jambo lisilowezekana kwani fedha hizo zinahitajika ili kuendesha shughuli mbalimbali za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JKUAT students, Michael Mwaisakenyi and Ken Gicira at 2020 Imagine Cup Competition in March 2020 FILE Two Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (Jkuat) students have bagged...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Kampuni ya Usafirishaji wa Mafuta nchini Kenya -- The Kenya Pipeline Company (KPC), ikishirikiana na wadau kadhaa wa sekta binafsi na ya umma wamechangia kiasi cha lita 130,000 za sanitizer...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
MGONJWA WA KWANZA WA CORONA AFARIKI KENYA Kenya imetangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa virusi vya #Corona, mgonjwa huyo wa kiume alikuwa na umri wa miaka 66 na alikuwa akisumbuliwa na maradhi...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Yes Corona is serious, Corona is bad but the wrong approach to fight Corona is not good either. Kenya is an African country where people live by surviving on a day by day income. A person has to...
2 Reactions
2 Replies
680 Views
Hili ni tukio la Kwale mkoa wa Pwani na mashahidi wamesema alipofika marehemu ilalamikia kupigwa virungu tumboni na polisi kabla hajafa Source: The Citizen TV of Kenya Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenyans Have been ranked the happiest people in East Africa, the latest World Happiness study has revealed. The study says Kenyans are more positive and hopeful than citizens of the other...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Tayari wameanza kukusanya malighafi.... Health CS Mutahi Kagwe has said Kenya is likely to be able to start manufacturing Personal Protective Equipment (PPE) materials from next week. He said the...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Kinachofanyika Kenya na uganga ni hatari sana kwa maambukizi ya Corona! Polisi wanakusanya mania ya watu na kuwapa adhabu! Rwanda polisi wanaua watu badala us kolona kuua watu! Tanzania imeamua...
6 Reactions
82 Replies
7K Views
Wananchi wanapiga na kuswaga Kama wanyama Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
116 Replies
11K Views
Polisi wa Kenya nishai tupu.
0 Reactions
5 Replies
996 Views
Huyu mbunge kakemewa na Waziri wa Afya aache uzushi kuwa kuna wagonjwa 7K wako hoi kwa Korona kwenye kambi maalumu za kuwatibu. Waziri husika kasema aache siasa Source:The Citizen TV Sent using...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Back
Top Bottom