Tazama video uone jinsi hawa watu washamba hukula vitu vya ajabu. Halafu anapika umbwa ikiwa bado hai. Hii corona ingewamaliza wote. Sasa Kenya na Tanzania tunaumia bure tu
Makanisa zaidi yatangaza kusimamisha kwa huduma za Jumapili na mikutano mingine ndani ya majengo yao nchini Kenya. Hii inafuatia agizo la serikali kwa Wakenya kuzuia mikusanyiko isiyo ya lazima...
Vihiga Governor Dr. Wilber Otichillo has waived mortuary fees for bodies lying at the county referral hospital morgue, to allow the residents pick and bury them immediately.
This the Governor...
The government is tracing 85 people who got into contact with a lady who tested positive.
These were the words of Health CS Mutahi Kagwe on Wednesday.
"These are active contacts' of COVID-19...
Worrying development
Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital.
The Kenyan government, through the Ministry of Health (MoH), on Wednesday...
KENYA: Rais Uhuru Kenyatta amethibitisha kuna wagonjwa wengine wapya 2 wa #CoronaVirus
Atangaza kuzuia watu kusafiri nje ya nchi kwa siku 30 kuanzia leo
Aagiza Taasisi za Elimu kufungwa kuanzia...
Kenyan scientist starts work on Sh20bn drugs, research centre
A top Kenyan scientist is putting up a multi billion-shilling research and drugs production facility in Naivasha.
This comes...
Wabunge wa bunge la Kenya wamemtaka mbunge wa Eldas, Adan Keynan aondoke bungeni kwa madai kuwa alikuwa ametoka London
Mbunge wa Endebes, Robert Pukose alimuomba Spika wa bunge, Justin Muturi...
Huu uzi nimeufungua ili kuhabarishana kuhusu hiki kirusi maana kuna upotoshwaji mwingi sana upo kwenye mitandao ya kijamii, kila mtu amekua mjuzi na daktari, Afrika yenye watu zaidi ya bilioni 1.2...
Central Bank of Kenya Governor Patrick Njoroge has announced that cash exiting Banks will be quarantined for one week in order to contain Coronavirus.
He has also said that loans received from...
Lets compare today's 2 matches
Gor Mahia vs AFC Leopard
vs
Simba vs Yanga
JPM in the house
MY TAKE
Middle income mnatuangusha aisee! kelele zoote za "Mashemeji derby" inabaki lip...
Hivi huyu mkenya aliyegundulika kuwa na corona virus ni mkenya mweusi? Nauliza hivi kwa sababu huko Misri ni wazungu na waarabu tu waliogundulika kuwa na corona virus huku ngozi nyeusi ikipeta...
Its back to the drawing board for the Office of The Director of Public Prosecution. After a judge at the Milimani Law Courts dismissed a corruption case against 3 Nairobi MCA's. Because of the use...
Wauguzi wanaofanya kazi katika wodi iliyotengwa kwa watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya wameanza mgomo baridi kulalamikia kile wanachodai kuwa ukosefu wa vifaa vya kujikinga na...
The number of Covid-19 cases in the country could rise after three patients suspected to have contracted the coronavirus were isolated on Monday.
Addressing the press, Government spokesperson...
Uzembe wa wabongo ndio huu hapa. Mashine ya oxygen haijatumika kwa miaka minne eti bado wanajitayarisha kuanza shughuli. Hawa madaktari wanastahili viboko
Police officers in Kakamega are holding a 23-year-old suspect who broke into the KCB bank in the town.
Jason Munai reportedly accessed the bank through the building’s roof on Friday night...
Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya.
Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote.
Shule hazitafungwa kwa sasa
Mipaka yote kudhibitiwa.
------
The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.