Wadau, kuna mambo yananishangaza sana nikiifikiria nchi ya Kenya, wakati wakilalamika kwamba hawawezi kujitoshekeza kwa chakula kwa sababu ya kukosekana na ardhi ya kutosha, lakini vipi kuhusu...
Home
Business
Mombasa firm assembles two cargo vessels for Dar port agency
TUESDAY MARCH 10 2020
The 'Hapa Kazi Tu 02' that is one of the two cargo barges constructed by Seco set to be...
Kila nikiingia Youtube ni lazima nimfuatilie huyu jamaa anayejiita Njugush, comedy zake zinanibamba sana. Wengine ninaowapenda ni MCA Tricky, Henry Desagu na Jaymo Ule Msee.
Hongera sana Wakenya.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha
===
Uganda to report Kenya to EAC Secretariat for blocking its milk exports
Ugandan government is set to present a petition before East African...
Kinoti wants US detectives to join in Kenei killing probe : The Standard
My take: Serikali ya Kenya inahusika moja kwa moja na mauaji ya Msando na Jacob Juma, kwasababu mpaka sasa hakuna mtu...
Wakuu,
Hata kama kenya ina shida za ufisadi,
Kuna mambo mengine ya kiajabu ajabu..Hivi haingii akilini KDF wanamwaga damu za alshabaab halafu fisadi anaiba damu ambazo wakenya wametoa bure...
Tanzania proposes law to bar foreigners from grazing land
SUNDAY MARCH 1 2020
In Tanzania's proposed law, cattle are in a category of animals that attract higher fines for violating grazing...
Kenya inazidi kuwa kinara wa haya mambo Afrika yote...
====
Kenya’s expertise in developing geothermal energy has become a point of reference in the region, leading to Ethiopia, Rwanda, Uganda...
Tanzania mints millionaires faster than Kenya, Uganda
Hii ni taarifa ya ripoti ya mwaka 2013, zote zilionyesha kwamba Tanzania inatengeneza matajiri wengi kuliko nchi yoyote hapa EA, iweje miaka...
Hii nimeiweka kiutani, wapambe wa rais msije kunivuruga, sijatukana nahoji kiutani, juzi raisi ameendesha gari aina ya pick up na kuwabeba walinzi wake huko nyuma, hivi huyo mdau hapo ikulu kuna...
Leo Rais Uhuru ameshuhudia Mahindra ya kwanza iliyoundwa Kenya ikizinduliwa. Kwenye maswala ya Vehicle assembly Kenya sasa haishikiki. Yaani Peaugeot, Toyota, Volkswagen, Isuzu na sasa Mahindra...
Nakumbuka kuna kipindi Makonda aliibua mzuka fulani dhidi ya mateja na akalumbana na wakuu fulani fulani, sijui huo moto uliishia wapi maana Tanzania ndio kiongozi kwa sasa.
=====
Tanzania is...
Hongera mheshimiwa rais, ile tu umekimbia japo kilomita chache, umeonyesha ujasiri na uwezo mkubwa na uhamasishaji, na pia umetutia moyo haswa kwa sisi ambao tumekatiza umbali wote wa kilomita 21...
Kilimanjaro Marathon was held on 3rd March 2019 (jana), nimetafuta results kwenye mtandao nikakosa. I however stumbled upon the results for the 2018 edition. See below:
42 KM
21 KM
Hapa...
Nimeona taarifa nyingi sana humu kuhusu mvutano ambao ulitokea kati ya nchi ya Kenya na Somalia mapema wiki hii.
Ila sijaona taarifa hizo zikipeana picha kamili kuhusu tukio hilo wala kilichofata...
Nairobi County Government in Kenya has approved the US $65m Garden City housing project eight months after it was mooted. Mi Vida chief executive Chris Coulson confirmed the report and said...
Dada mwanamuziki wa marekani Selena Gomez ametoa tetesi ya dhati kwamba Rais Kenyatta awache watoto wa kike waende shule.
Aibu sana middle income kuwa asilimia 59% ya watoto wa kike hawana...
The DARE 1 sub-sea cable is a 3-fiber pair, with a capacity of 36TB each with a lifespan of 20 years
KBC-survey-feedback-poster
Data consumers in East Africa could see a significant reduction in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.