‘I have a wife!’ White man tells desperate Kenyan women
Geoffrey Mbuthia
Peter-Gessler
A certain white man is called Peter Gessler is one tired man. Why would he be so weary? The man lives in...
Mtanzania kaponea kwa kutuma over 100,000 troops against Amin's 3000!!., starting with 9000 (6000 from mainland and 3000 from Zanzibar)., la sivyo wangepokea kichapo cha mbwa.
Amin annexed Kagera...
1: Kenya $159 Billion
2: Ethiopia $146 Billion
3: Tanzania $92 Billion
4: Uganda $50.93 Billion
5: Rwanda $15.81 Billion
Kenya and Ethiopia will continue to expand and compete for supremacy in...
A man was on Tuesday arrested after he reportedly blocked President Uhuru Kenyatta’s motorcade along State House road to beg for a job.
According to a police, the motorcade was headed towards...
Washukiwa wawili walikamatwa Jumanne kufuatia wizi uliofaanyka katika duka la Imara lililopo katika Kaunti ya Vihiga, ambapo katika tukio hilo mlinzi aliuawa na mwingine aliyejeruhiwa vibaya...
Taarifa za hivi punde zinasema kwamba, watu wengi wameuliwa baada ya Alshabaab kuvamia basi la abiria jioni hii huko katika mkoa wa Wajir.
Wakati tunaendelea kuomboleza mamia ya wakenya waliokufa...
Expatriates have ranked Nairobi as the best African city to work in and the 45th globally in a new cities survey, thanks to friendly residents and fair weather.
In the Expat City Ranking 2019...
Wakuu,
Mwaka Jana habari zili vuja kwamba mkopo wa SGR ya Kenya imeweka dhamana bandari ya Mombasa.
Serikali iliunda kamati kuangalia mkataba huo upya maana hakuna aneyejua nini kipo ndani yake...
07 DECEMBER 2019 6 MIN READ
SHAME OF NATION'S CAPITAL
Once nicknamed Green City in the Sun, it is fast turning into one huge slum
In Summary
Nairobi is crippled by bad leadership resulting in...
Nimeisikiliza hotuba ya Profesa Kabudi wa kutokea Tanzania, kwa kweli ametiririka maneno yenye hekima na kutuasa Wakenya tuwe kimoja, pia akamsifia sana Rais wetu Uhuru kwa kukubali kujishusha na...
Wakuu,
Wiki iliyopita serikali ya Tanzania ilitumia hela ndefu kuweka ndege mafuta kumtuma Profesa Kabudi Nairobi pamoja na wasaidizi wake kuja kuwashauri namna ya kufanya siasa safi na endelevu...
Kenya’s ultra-high-net-worth individuals with political connections control more than 50 per cent of Kenya’s wealth. This was reflected when treasury offered a tax amnesty to have wealth stashed...
Leo Kilimanjaro stars wamepokea kichapo cha Wakenya kwenye mchuano wa CECAFA, juzi hapa wanawake wa Tanzania waligaragazwa na wanawake wa Kenya. Najiuliza hapa mchezo upi ambao Tanzania...
Hili la kuendekeza lugha za makabila katika ofisi na mikutano mbali mbali ya kisiasa, tuliwaonya sana majirani wetu kwamba ni jambo la hatari sana, hasa katika nchi ambayo imekumbwa na ukabila na...
Kumekucha wakuu.
Baada ya Kenyatta kumrai Rais wa Congo kwa miezi mingi tu ajiunge na SGR ya Kenya angalau ipate umuhimu, hatimaye Magufuli tena ameibuka mshindi.
Tukumbuke ni Rais Kenyatta...
American technology giant Google is among a group of global firms seeking to invest in Lake Turkana Wind Power (LTWP), Kenya’s largest private sector project that was officially commissioned in...
Huyu jamaa ukimuangalia usoni, anaonyesha wazi kwamba amejawa na hasira sana kiasi cha kumtusi rais hadharani, pia inaonekana ni mtu katili sana yupo tayari kufanya lolote atakaloamrishwa na...
Wakenya hamueleweki ni lugha gani mnaimaster vizuri zaidi kuliko kati ya lugha zinazozungumzwa nchini mwao
Kiwashili hamuwezi, labda mtambe na lugha za kikabila tu kwani hata kiingereza pia...