Vita baina ya kenya na somalia zaendelea kunuka...Serikali ya somalia jana iliagiza Majeshi 100 kutoka Ethiopia kutua Somalia..KDF wakazuia hio ndege kutua lakini msaada wa ethiopia bado upo kwa...
Repoti za "Rule of Law" Zimeonyesha kwamba hadi sasa, Kenya ndio inayo shikilia nambari moja duniani kwa uogozi wa Mihemko, Kukurupuka, Hisia na mikwara ya viogozi badala ya utiifu wa Sheria😂😂😂
WB imetoa tamko kwamba ushuru wanaolipa wakenya ni kazi bure. Haifaidii Mwananchi wa kawaida 👇
===========================
Kenyan taxpayers are not getting full value for the hundreds of...
Nime soma hoja zako hapo nikashangaa hii akili kaitoa wapi? Umechambua hoja kuliko hata wanahabari wanao lipwa mishahara
Lilio nishangaza sana ni hili:
Kisumu port inatumia mbinu gani? Kama sio...
Mombasa - Nairobi expressway project cost inflated by 67%
Construction of the mega project was set to begin last year
In Summary
• Questions on the cost remain unanswered where the project is said...
Hayawi hayawi Huwa. Kenyatta ameamua kuweka Jeshi la kenya ndani ya Bahari La somalia.
Ameshindwa na Alshabab sasa anataka vita na Serikali ya somalia
Wakenya najua mtafurahia sana, lakini...
Baada ya kununua Cranes chakavu za kuinua na kupakia mabehewa mombasa port, Kenya ports authority wamekuwa waki tumia crane zao na leo wametuma bill ya 13bn ksh!
Yaani cranes zenyewe zilikuwa ksh...
High Court Judge Mumbi Ngugi on Wednesday made a ruling that is likely to send ripples across the country on matters related to corruption.
The firm judge, who has been nominated for promotion to...
Hivi huyu Rais anatumia mbinu gani? Yaani kila kuchao anawadhalilisha mabeberu nao wana bishana milango ikulu wampe pesa ya bure.
Hana hata wakati nao hawa tembelei.
Kenyatta kila siku yupo angani...
President Uhuru Kenyatta's influence in Africa is finally panning into view thanks to his latest project that is ranked as the biggest in Africa.
On Wednesday, Uhuru is set to commission Lake...
Hivi huyu Mzee wa chato ana manukato yepi hadi anafuatwa mzima mzima hadi kijijini kwake na marais?
Kagame naye nasikia anabisha hodi.
"First they ignore you, then they laugh at you, then they...
Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania
Kitu ambacho wazungu wengi...
Armoured trucks bought by President Uhuru Kenyatta and handed to the Anti-Stock Theft Police (ASTPU) in Baringo have been turned into chicken pens since they have stalled.
It is claimed that the...
Magufuli wakiwashika wavuvi wa kenya hatupati amani huku JF eti dikteta..Haya nayo vipi? Uhuru kenyatta ni dikteta?
=============
Kenya detains over 100 Tanzanians in fishing row
nation.co.ke
May...
Shock as Magoha plans for Chinese lessons without tutors
the-star.co.ke
May 23, 2019 8:18 AM
The government has decided that Grade 4 children must learn foreign languages but there are fears that...
Hii bifu ya kenya na serikali ya Somalia ipo sasa karibu kufanana na ya museveni na kagame.
Tukumbuke kwamba madaktari wawili wa asili ya cuba bado wametekwa na somalia.
Hivi kenyatta ni limbukeni...
Puzzle of idle Sh2bn giant SGR cranes at Mombasa port
nation.co.ke
May 19, 2019 7:31 AM
The faulty standard gauge railway (SGR) gantry cranes at the Mombasa port on Thursday, May 16, 2019. The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.