When Kwame Nkrumah wrote in his 1965 book that “THE neo-colonialism of today represents imperialism in its final and perhaps its most dangerous stage,” he clearly foresaw today’s Nigeria and Kenya...
Joseph Kariuki Wanjiku (43) aliyekuwa Padri wa Kanisa katoliki, Parokia ya Mtakatifu Paulo, Jimbo Kuu la Nairobi, ameripotiwa kufariki baada ya kupoteza fahamu katika hoteli moja kaunti ya...
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo...
Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na...
Avocados have in a recent past become one of Tanzania’s hottest exports with more farmers engaging in what has been christened as the green gold.
However, even with production hitting record...
It was just a speculation but yesterday finally the DP Rigathi Gashagua aka Right G declared bankruptcy to his government.
The so called EA giant has officially declared unable to pay salaries to...
Founding President Mzee Jomo Kenyatta Never Attended Church During His 15 Year Presidency
The mere mention of the founding father of Kenya Mzee Jomo Kenyatta excites an aura of reverence, power...
Taifa-1, setilaiti ya kwanza ya Kenya ya kufuatilia dunia, imerushwa angani kwa roketi ya SpaceX Falcon 9 kutoka kituo cha Anga cha Vandenberg huko California, Marekani.
Space-X ambayo makao yake...
Satelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali...
KenGen is eyeing drilling deals in Tanzania in what looks set to cement the Kenyan electricity producer as the leading geothermal power company across the continent.
KenGen acting managing...
Rais wa Kenya William Ruto amesaini Mkataba wa Biashara Huria na Umoja wa Ulaya licha ya kwamba Mkataba huo ulikuwa unapingwa na Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika Mashariki Toka 2016.
========...
Jaokuwa Ni nchi ndogo yenye watumishi wengi kuliko Tanzania tuangalie tu jinsi Kenya inavyohudumia vizuri walimu wake kuliko Tanzania.
Kenya iko na watumishi milion 1 wa umma ukilinganisha na...
Huku Kenya iko watu wameweka tangazo jiji ya kwamba wana nyumba ya kukodisha. Niliona nyumba moja Kodi ilikuwa elfu kumi na saba. Lakini maeneo hayo nyumba ya bedroom mbili huwa na kodi ya kama...
Siku moja baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) kutoa taarifa ya kumsimamisha Kazi Ezra Chiloba, imebainika sababu ni ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 11.2, ambazo ni Fedha...
Rais William Ruto ametoa maagizo hayo na kueleza Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yenye Ushindani ikiwemo kuongeza ushawishi kwa Makampuni ya Teknolojia kwaajili ya kuwekeza...
The available slot for hosting the tournament isnt open before 2025,with proper supporting infrastructures EAC can bid as a block and host the tournment in 2025.
Cities like...
Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini Kenya amefutwa kazi baada ya kukatika kwa umeme na kuwaacha abiria wakiwa gizani kwa saa kadhaa katika Uwanja Mkuu wa Ndege wa Nairobi.
Alex Gitari...
Haya as if Kenya hakuna gangs, US funded and trained Kenyan troops zitatumwa Haiti eti kuzuia uhalifu, ikumbukwe tangia raisi wa watu wa Haiti auliwe Ikulu na so called gangs Haiti haijatulia na...
Nimekuwa nikisikia neno Nairobi kwenye movies and series nyingi sana za western, na nadhani pia na nyie mtakubaliana na mimi kuhusu hili.
Swali langu ni kwanini Nairobi mara nyingi na sio jiji...