Deni la Kenya kwa Benki ya Dunia limepanda hadi kufikia Ksh1.5 trilioni [TZS trilioni 24.96] mwezi wa Juni kutokana na ongezeko la mikopo na kushuka kwa thamani ya shilingi ya Kenya.
Takwimu...
Maafisa wa upelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa (EACC) Kenya wamewakamata Maafisa wawili wa Polisi kutoka Kituo cha Polisi cha Eastleigh Kaskazini kwa tuhuma za kutaka Rushwa...
Father Edwin Gathang’i Waiguru spoke to the media after Sunday's ceremony
Kenyan Catholic priest marries after joining splinter group
An ordained Kenyan Catholic priest has taken the unusual...
Mawakili kote nchini wamejitolea kutoa hamasa kwa Wakenya kwa muda wa wiki moja. Kupitia zoezi lililopewa jina, "Wiki ya Uhamishaji wa kisheria'' mawakili wanachukua muda huu kutangamana na...
Ushuhuda wa gavana wa banki ya Kenya, Kamau Thugge ni kwamba wenzetu wakenya wamekuwa wakituibia kwa kukadiria fedha yao kitapeli na kuonekana na fedha ngumu kwenye ukanda wa Afrika Mashariki...
I love Kenya and I sincerely admit that, my attachment to Kenya in various aspects has been of great positive impact in my life. However, the said attachment has had exposed me into enlightenment...
Nimesikia taarifa ya Waziri wa kilimo Jana Bungeni akizungumzia vibari Kwa wafanya biashara wa mazao kutoka Tanzania anadai hajafunga mipaka ila ametoa mashariti yafatayo Kwa wageni
Wasajili...
Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo!
Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata...
Urgent Appeal for Joshua Loitu Mollel - A Plea for Help and Prayers
Joshua Loitu Mollel, a young student from Morogoro, Tanzania, embarked on a journey to Israel on 18/9/2023, pursuing his dream...
Riara University and Airtel Kenya have opened a digital lab at the institution to quip students with educational and technological skills.
The Robotic Embedded Systems and Digital lab is equipped...
Mahakama Kuu ya Mombasa imetoa hukumu hiyo dhidi ya Happy Mwenda Mumba baada ya kumkuta na hatia ya kumtupa Mtoto wake mwenye umeri wa mwaka mmoja kwenye shimo ili asipate kikwazo wakati wa...
Hakuna Nchi Ina vituko kama Kenya
---
David Nyawade kutoka nchini Kenya ameingia matatani baada ya kugundulika kuwa ameifanya kazi ya udaktari kwa zaidi ya miaka 16 huku akiwa hana taaluma ya...
Wizara ya Mambo ya Nje imetoa orodha ya Washukiwa 35 wa Ugaidi wakiwemo raia wa Tanzania, Somalia, Ujerumani, Uingereza, Bangladesh na Wakenya ambao wanatafutwa na Serikali kutokana na kuhusishwa...
Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake...
Mchungaji wa Kanisa la Neno nchini Kenya, James Ng’ang’a amewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kutoa onyo kwa waumini wake waliohitimu shahada ya kwanza kuwa waache kuhudhuria kanisani hapo...
Hapo ndio Utajua kipawa ni zaidi ya hayo Makaratasi yenu.
Mtu hajasomea sheria Wala hajahitimu Uwakili.lakini amewezesha kushinda kesi 26 Kwa niaba ya wateja wake,unamkamata wa nini? Nani fake...
Habarini ndugu zanguni!
Nimearifiwa kuwa katika nchi za Afrika Mashariki, ni Kenya ndiyo inayoongoza kwa kufanya vizuri kwenye kilimo cha DRAGON na KIWI.
Ninakusudia kujihusisha na kilimo cha...
Referendum iandaliwe na serikali kivuli ya dubwana kubwa Tanganyika lililojificha nyuma ya muungano wa hovyo kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba ni wakati sasa ardhi na eneo lote la...
Ndugu zangu Watanzania,
Sasa nitaanza kueleweka naposema kila wakati humu jukwaani kuwa Rais samia anachapa kazi,anafanya kazi kwa ajili ya watanzania,anatubeba kisera katika kuhakikisha hatupati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.