Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa...
Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa serikali kubinafsisha bandari hizo kutokana na ombi la wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa usimamizi na mali za Mamlaka...
Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao...
Azimio la Umoja One Kenya coalition party leader Raila Odinga now claims the Kenya Kwanza administration has captured the legislative arm of the government, thereby rendering Parliament unable to...
Eliud Kipchoge ni mwanariadha na ametunukiwa PhD ya Heshima kutokana na anavyoweza kuliweka Taifa lake pamoja kupitia Ushindi wake kila aendapo huko Duniani
Wasomi wote nchini wamekubaliana kuwa...
Ndugu wana JF naomba kiwasilisha.
Naomba tujikite kujadili kwa kina faida na hasara za kuungana na kuwa jumuiya ya Afrika mashariki.
Kwa historian muungano huu uliwahi kuwepo na ukavunjika kwa...
Hakuna kitu kinachokatisha tamaa kama mtu kuteseka kwa jambo ambalo liko nje ya uwezo wake. Nazungumzia jamii ambayo imekuwa nadra sana kuzungumziwa hasa kwa Afrika Mashariki.
Watu wa jinsi...
Mvua kubwa zilizosababisha mafuriko yaliyoathiri Kaunti 10 nchini humo zimesababisha idadi ya vifo kuongezeka hadi 120, huku zaidi ya kaya 89,000 zilizoachwa bila makazi pia zikipewa hifadhi...
Rais Dr Ruto amefanya mabadiliko makubwa kwenye Baraza la Mawaziri
Taarifa kamili itakujia.
Mlale unono 😀😀😂
---
President William Ruto with his Cabinet Secretaries during a Cabinet meeting at...
Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa...
Rais Mstaafu wa kenya Uhuru Kenyatta, ameiambia serikali iliyoko madarakani iache kuulaumu utawala wake kwa kushindwa kutimiza malengo iliyowaahidi Wakenya. Uhuru amesema serikali ya rais...
Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh...
KIONGOZI wa Chama cha Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amefichua kuwa bado hajajiandaa kujiondoa katika ulingo wa kisiasa na kwamba hatostaafu.
Raila mwenye umri wa miaka 78 alidokeza kujaribu...
Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22
Ni hujuma kwa Ruto
Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
Bunge la Kenya limeidhinisha kutuma kikosi cha maafisa wa polisi kusaidia kuzima ghasia za magenge nchini Haiti, licha ya amri ya mahakama inayozuia kutumwa kwa maafisa hao kusubiri kusikizwa kwa...
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufanya mabadiliko ya gharama za kupata Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa, Kibali cha Kazi, Cheti cha Kuzaliwa na Kifo ikiwa ni siku chache tangu...
Seneti ya Kenya inatarajia kujadili Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Hali ya Hewa ambao umeweka faini ya Ksh milioni 1 (Tsh 16 milioni), kifungo kisichozidi miezi 12 au vyote kwa mtu atakayetoa...
Ningependa tutumie fursa hii kushare nyimbo za kizalendo za nchi hizi mbili. Haswa zile nyimbo za kizalendo za enzi za Kenyatta/Moi na Nyerere. Nimetafuta nyimbo za Kitanzania lakini sijapata.
Lawama kuhusu paa zinazovuja katika uwanja mkuu wa ndege wa Kenya
Waziri wa uchukuzi wa Kenya na mamlaka ya viwanja vya ndege wamekabiliwa na shutuma mtandaoni kufuatia malalamiko ya kuvuja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.