Mnapowaona hawa Marais wetu kila siku wako safarini msidhani Wanaenda kuzurura bali mjue Wanaenda kutafuta Fedha za kutuletea maendeleo.
Gachagua amesema ni kweli Marais wa Afrika Mashariki...
Mwendo wa kuendelea kutia Afrika yote kwapani na kukimbia nayo. Hapa Afrika Mashariki na Kati tulishamaliza mchezo, tumefika pia SADC sasa tunelekeza pua.
Magharibi na Kaskazini mwa Afrika, hili...
Waziri wa Fedha na Hazina wa Kenya, Njuguna Ndung’u ameiambia Kamati ya Fedha na Mipango ya Taifa kuwa Madeni ya Mikopo ya muda mfupi yanayoendelea kuiva, kushuka kwa thamani ya Shilingi na...
Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la...
Kenya facing a serious liquidity crisis, treasury says
Kenya's Treasury says the country is facing serious cash flow challenges due to the maturing debts that have delayed the disbursement of...
Katika mkutano wa bunge ulioitishwa na Rais Ruto kama kiongozi wa chama cha UDA na Muungano wa Kenya Kwanza, uliohudhuriwa na zaidi ya wabunge 200, ukweli wa gharama kubwa ya maisha ambayo kwa...
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika...
The shilling has strengthened to an eight-month high against the dollar, boosted by remittances from Kenyans abroad amid lower dollar demand by importers ahead of the festive period.
Commercial...
Foreign travel advice
Kenya
Safety and security
Terrorism
Local laws and customs
Entry requirements
Health
Natural disasters
Money
Travel advice help and support
Subscriptions
Get email alerts...
Leo wanafunzi wa Mwisho wanafanya mithani wa mwisho wa waTaifa kwa shule za Misingi Kenya(KCPE)
Kumbuka wana mitaala mipya ambayo imeondoa mitihani ya Taifa kwa shule za misingi. Tanzania bado...
Kwa Mara ya kwanza Leo Kenya imeadhimisha siku ya watu wa jinsi mbili (yaani mtu Mwenye uume na uke kwa wakati mmoja), jambo ambalo Ni la kwanza kwa Afrika mashariki.
Nchi hiyo Pia imekuwa...
Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu.
Rais William Ruto alitoa tangazo...
The Royal Visit: King Charles' III speech at the State Banquet at State House, Nairobi.
https://www.youtube.com/watch?v=YSMqoQg6554&ab_channel=CitizenTVKenya
Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka...
Mfalme wa Uingereza Charles III na Malkia Camilla wamepokelewa na Rais Ruto jijini Nairobi
King Charles III atakuwa Africa Mashariki kwa ziara ya siku 4
Source BBC news
===========
NAIROBI...
Wanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari God Bura iliyoko Homa Bay Kenya,wamemvamia mkuu wa shule hiyo kisha kumshushia kipigo katika kile kilichodaiwa amewapa uji hauna sukari.
Mwalimnu...
Raia wanapinga agizo la Mamlaka ya Mapato (KRA) linalotaka kutoza ushuru bidhaa mpya au zilizotumika kiasi za kibinafsi au za nyumbani zenye thamani ya Tsh. Milioni 1.25 na zaidi zinazoingizwa na...
Kwa mujibu wa Rais William Ruto, Nchi hiyo imepanga kukamilisha hatua hiyo ifikapo mwisho wa mwaka 2023, ikilenga kuvutia Uwekezaji na Biashara kati yake na mataifa mengine ya Afrika.
Akizungumza...
Sheria mpya inayoweka kodi ya 15% kwenye mapato ya watengeza maudhui mtandaoni yaanza kufanya kazi Kenya, lakini haijapokelewa vizuri na vijana ambao wengi ndio watengeza maudhui ya mtandao. Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.