Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za...
Kenya itaanza kujenga kinu cha nyuklia mnamo mwaka wa 2027.
Kinu cha nyuklia cha Megawati 1,000 ni sehemu ya mpango wa nchi kuhamia kwa nishati safi na kuongeza uzalishaji wa kawi.
Kaimu...
Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake.
Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu...
Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky.
Haya yametokea wakati...
Started under the Uhuru regime, the first phase of the envisioned Mombasa commuter rail is almost complete. The first phase is an MGR link from the SGR terminus into Mombasa CBD. The first phase...
"Ripoti kutoka Afisi ya Msimamizi wa Bajeti inaonyesha taswira yenye kiza kutokana na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 83 kubwa ya mapato yote yaliyokusanywa na serikali yametumika kwa malipo ya...
Safaricom inafanya mashirikiano na kampuni ya Apple kuiunganisha M-Pesa na PayPal ili kuongeza wigo wa shughuli za M-Pesa kimataifa.
Ruto asema wana nia ya kuzitumia fursa zilizoletwa na kampuni...
Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa...
Gavana wa Mombasa Mh Nassir amesema hawako tayari kuona Bandari yao inabinafsishwa Kifala fala
Nasir amemtaka Rais Ruto akabinafsishe Shirika la Ndege Ili Midege iongezeke
Source: Mwanzo TV...
Ni Wakenya ambao wamesema Kenya anahitajika mtu kama Tundu Lisu ambaye hana maslahi binafsi kwenye mambo ya Biashara
Wamedai kampuni za Saudia na UAE walisaini Mkataba wa kusaidiana kuingia...
Wanajeshi nane wa Kenya wanahofiwa kufariki baada ya helikopta waliokuwa wakitumia kuanguka Kaunti ya Lamu.
Taarifa kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Kenya imesema Helikopta ya Jeshi la Wanahewa la...
KENYA: Mahakama imemhukumu Mchekeshaji, Eric Omondi na wenzake 15 kwenda jela kwa siku 30 baada ya kuwakuta na hatia ya kufanya mikusanyiko kinyume na Sheria
Licha ya Mahakama kutoa nafasi ya...
Mahakama Nchini humo imetoa hukumu hiyo dhidi ya Mchekeshaji huyo na raia wengine 15 baada ya kuwakuta na hatia ya kufanya mikusanyiko kinyume na Sheria
Licha ya Mahakama kutoa kukata Rufaa...
Kalonzo Musyoka, Kiongozi wa Kamati ya Kitaifa ya Majadiliano na timu ya upande wa Raila Odinga ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa wanaridhishwa na jitihada za Rais Ruto katika kutafuta muafaka...
Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir.
Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya...
MWANAUME wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha Manyata katika Kaunti ya Murang’a, anadaiwa kujitoa uhai kwa ajili ya kukwepa deni la Ksh 30, 000 ambayo ni sawa na Sh 520, 000 za Tanzania ambalo...
Askari Polisi mmoja aliyetambulika kwa jina la Michael Kyalo amejiua kwa kujipiga na risasi baada ya kumjeruhi mkewe kwa risasi huko Kaunti ya Bondo nchini Kenya mapema leo, Polisi wameripoti...
Tafiti mpya iliyofanywa na mamlaka ya kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya NACADA imeonesha kuwa watumiaji wa bangi wameogezeka maradufu katika kipindi cha miaka 5.
Kwa mujibu NACADA, mtu mmoja...
katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa...