Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula leo amepokea ombi rasmi la kutaka kupiga marufuku matumizi ya mtandao wa TikTok, kwa madai kuwa mtandao huo unatumiwa vibaya na Vijana kueneza uchafu na...
Je, Kenya imeweza kutambua kwamba suala hili linaweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na walafi wa rasilimali za Afrika na jinsi sera hiyo inavyotekelezwa na serikali inavyoshughulikia masuala...
Akiwa katika Mahakama ya Shanzu ambapo shauri dhidi yake na washirika wake linatajwa, Paul Mackenzie alipiga kelele akiitaka Mahakama iwaue kisha miili yao itupwe Mto Yala, akidai haki zake na za...
Mchungaji McKenzie analalamikia kutopewa haki za kibinadamu akiwa jela.
Anadai amekuwa akinyimwa kutoka nje na kuota jua, analalamikia GIZA la humo ndani.
Amesahau waamini wenzake wako katika...
Rais William Ruto ameibua mjadala mitandaoni baada ya wataalam wa saa za mkononi kufichua kwamba alivaa saa kutoka kwa kampuni ya Jaeger Coultre yenye thamani ya Shilingi milioni 6.4 za Kenya...
Jeshi la Polisi Nchini #Kenya, linamshikilia kwa mahojiano, #DJBrownskin (Michael Macharia Njiiri) anayedaiwa kurekodi tukio hilo ambalo limetajwa kuwa ni kosa la kusaidia kuua, kinyume na Kifungu...
Mhubiri wa eneo la Bomet kaunti amekamatwa na mwanafunzi wa Kidato cha Nne mwenye umri wa miaka 17 huko Kisii wakati wakisubiri usafiri kuelekea Kisumu.
Binti huyo ambae ni Mwanafunzi wa Shule ya...
Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa...
Rais wa Kenya, William Ruto ametoa mwongozo mpya wa usafiri kwa Maafisa wa Serikali nchini Kenya ambapo amesema kila Afisa wa Serikali anapaswa kusafiri kwenda nje ya Nchi kwa siku 45 tu kwa mwaka...
Odinga anazidi kukaza,amkalia Ruto kama Vile Beberu USA alivyomkalia Putin Hadi akakimbia Mkutano wa Brics 😁😁
-----
Rais wa Kenya, Dk William Ruto, amesema yuko tayari kufanya mazungumzo kuhusu...
Makundi ya Utetezi wa Haki Za Binadamu yamemkosoa Rais William Ruto kwa kusaini Sheria ya Msingi ya Umoja wa Afrika iitwayo Malabo Protocol ambayo itamfanya asiweze kufunguliwa Mashtaka moja kwa...
Mahakama ya Nairobi imemhukumu mchungaji, James Njuguna kifungo cha miaka 70 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo wawili wenye umri wa miaka 11 na 14 katika nyakati tofauti...
France's situation on the African landmass has disintegrated essentially as of late, and it has lost a considerable lot of the regions it colonized there for a long time. Western nations...
Inspekta Jenerali wa Polisi, Japhet Koome amewashutumu Wanasiasa kwa kukodi maiti za Watu ambao walifariki kwa sababu mbalimbali iliwemo Magonjwa na Ajali kutoka Vyumba vya kuhifadhia Maiti na...
Bodi ya Dawa na Sumu Nchini humo (PPB) imewaonya Wanawake dhidi ya matumizi ya Yoni Pearls, Dawa zenye Mchaganyiko wa Mimea mbalimbali ambazo zimepata umaarufu kwa kudaiwa kusafisha au kutibu...
Tanzania opposed to Rajoelina leadership
2009-03-21 12:03:14
By Felister Peter
Tanzania has condemned the forced resignation of Madagascar President Marc Ravalomanana and said it does...
Mwanasiasa huyo ambaye ni kiongozi wa Chama cha Narc-Kenya amesema wakati umefika wa Serikali za Marekani na Kenya kuwa na mazungumzo ya mwisho kuhusu malipo hayo ya walioathiriwa na tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.