Mkenya Jonathan Ogolla amewaomba Watanzania wawe wanafuatilia Usaili wa Mawaziri wa Kenya na Viongozi wengine wanaoteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge
Ogolla anasema kila Msailiwa hutakuwa...
Serikali ya Kenya imepanga Kushirikiana na sekta binafsi Kwa kukodisha Uendeshaji wa Bandari Zake Zote 5 kubwa ikiwemo Mombasa/ Dongo Kundi Ili kuleta ushindani na kukabiliana na Bandari ya Dar...
Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Kuna muda nikiwatazama ndugu zangu na jirani zangu wakenya napata mashaka sana na uelewa wao.
Hivi kinachofanya muandamane na kuharibu biashara za watu...
Jackson M. Marucha, Mwalimu kutoka Kaunti ya Nyamira Kenya, anatuhumiwa kumpa adhabu hiyo Mwanafunzi wa Darasa la 4 mwenye miaka 9 baada ya kuripoti kuibiwa nguo zake za Shule.
Mwalimu alijaribu...
Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) na Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) wameelezea kutoridhishwa kwao kuhusu mradi wa Sarafu Mtandao "Crypto" unaoenezwa na mtandao wa Worldcoin.
Katika...
Nairobi is among six must-visit African cities chosen by the 47-year-old American monthly consumer travel magazine, Travel+Leisure.
Describing the Kenyan capital as East Africa’s hub and home of...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema hatua hiyo inafuatia kuongezeka kwa maudhui ya aina hiyo kupitia Mitandao ya Kijamii.
Amesema Wizara itapitia upya...
Wakuu hii kitu ndio nini na why hawa jamaa wawalipe watu pesa kuja kuscan, cha kushangaza hata wengi hawajui ni kitu gani ? Imebidi serikali isitishe maana msongamano ni mkubwa sana
Mwenye info...
Rais Ruto amewapa uraia wa Kenya Wapemba Elfu Saba (7,000) leo hii Jumamosi
Wakiishi maeneo ya Kilifii
Wapewa National Id, Birth certificates n.k
Wamekuwa wakiishi huko kwa miaka 100 na hata...
Biashara ya kununua mbegu za Wanaume imeonekana kunoga na kushika kasi katika Kaunti ya Murang’a nchini Kenya ambapo baadhi ya Wanawake wanawalipa Wanaume hadi Ksh. 300,000 (Tsh. mil 5.1) ili...
Kinachoweza kuwasaidia Luo wa Kenya kupata utaifa wao (ambayo ndiyo dawa pekee) ni yafuatayo:-
1. Waluo waandae waraka maalum wapeleke UN kuomba eneo lao kupewa mamlaka kamili ndani ya Jamhuri ya...
Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga.
Katika taarifa iliyotolewa...
By 2030, Africa's populace is supposed to top at 1.6 billion and ladies' populace will represent 58% of that populace. However the mainland is a long way from accomplishing half ladies' portrayal...
Inaelekea mama alienda kwa mishe zake binafsi.
---
Baada ya kuwapo kwa taarifa ya Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu kwenda nchini Kenya hivi karibuni kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.