Rais wa Iran Ebrahim Raisi ameahirisha ziara yake nchini; msemaji wa Ikulu Hussein Mohammed athibitisha.
Kiongozi huyo alikuwa akitarajiwa kuwasili Kenya leo.
---
Iranian President Ebrahim...
Imefikia taarifa ya Jeshi la Polisi Kitaifa kupitia vyombo vya habari kuwa kuna makundi au watu binafsi wanaopanga kufanya maandamano, migomo au mikusanyiko ya umma katika maeneo mbalimbali...
Maafisa wa polisi huko kaunti ya Murang'a eneo la Kaharati wanamshikilia Mzee mmoja kwa kosa la kupaka rangi matunda ya parachichi kuwahadaa wanunuzi kwenye barabara ya Murang'a kuelekea Nairobi...
Maswali yameibuka kuhusu utendakazi wa maafisa wa Wizara ya mambo nje inayoongozwa na Waziri Dkt. Alfred Mutua, baada ya kutuma taarifa nyingine mpya kwa vyombo vya habari ikisema kuwa Rais wa...
Waziri wa usalama wa ndani Professor Kithure Kindiki ametuma onto kali kwa upinzania kuelekea maandamano mengine yanayotarajiwa siku ya Jumatano.
Kithure amesisitiza kuwa hakuna aliye juu ya...
Kwa muda sasa Viongozi wengi wanaomuunga mkono Rais William Ruto wamekuwa wakimkemea Rais mstaafu Uhuru Kenyatta wakidai ndiye mfadhili mkuu wa vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa Kenya.
Madai...
Tom Mako: Kijana wa Kimaasai afunga ndoa na wanawake wawili wakati mmoja Kenya
Tom Mako, maarufu kama Junior, 27, alifanya sherehe hiyo ya harusi Jumanne wiki hii.
Mako anatokea kwenye familia...
Muktasari:
Kiongozi wa Azimio la Umoja nchini Kenya, Raila Odinga leo Jumatatu ametumia usafiri wa umma maarufu matatu au daladala kwenda kazini. Hatua hiyo imeibua mijadala mitandaoni.
Kenya...
Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako.
Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili...
Imekuwa ni siku iliyowashangaza wengi baada ya Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kutumia daladala kuelekea mjini na baada hapo kula chakula vibandani kwa mama ntilie.
Baadae msafara wake...
Mlitaka katiba mpya mkatengeneza, mkataka uchaguzi uwe free, fair and transparent na ikawa hivyo na Dunia nzima ikawasifia wakenya Kwa uchaguzi digital, Ruto akashinda, Odinga akaenda mahakamani...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Umoja wa Mataifa, umeonesha kuna ongezeko kubwa la Wanawake wenye Vitambi na Uzito...
Hakuna mkubwa , hakuna Cha mtoto, hakuna kiongozi Wala Nini....Kila mtu mjuaji....nchi haitawaliki.Siasa mpaka makanisani....vurugu, mabomu, KERO Kila mahali, Hali mbaya ya maisha, vitu bei juu...
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Dennis Itumbi, alikuwa Kampeni Meneja wa Rais William Ruto, amesema taarifa za Kiintelijensia kutoka kwa Maafisa wa Hustler Nation Intelligence Bureua (HNIB)...
Mahakama Kuu katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, imetangaza nyadhifa 50 za juu za mawaziri kuwa ni kinyume cha sheria.
Katika uamuzi wao wa Jumatatu, majaji Hedwig Ong’udi, Aleem Visram na Kanyi...
Maandamano hayo ni wito wa Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Muungano wa Azimio kuelekea Jijini Nairobi yakiwa na lengo la kupinga gharama kubwa za maisha na Utawala wa Rais Ruto.
Pia, Raila...
MY TAKE; Tukisema Tanzania ni nchi ya maziwa na asali wakenya wanadhani tunatania.
Tony254
Don YF
dyfre
Nicxie
IamLee
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.