Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Waziri wa Baraza la Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CS) Eliud Owalo ameashiria mpango wa serikali ya Kenya Kwanza kupunguza matumizi ya matangazo ya vyombo vya habari...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameruhusiwa kuondoa kesi ya Tsh. Bilioni 139.8 dhidi ya Richathi Gachagua huku Mahakama ikionya kuwa anaweza kukamatwa tena iwapo ushahidi utapatikana. Ofisi ya DPP...
0 Reactions
5 Replies
604 Views
https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/makerere-bounces-back-to-top-five-in-africa-in-new-rankings-4287392 MY TAKE; Go Tanzania the sky is a limit. Sent from my itel L5007 using...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Mashuhuda, ajali imetokea eneo la Londiani Nchini Kenya baada ya Lori kupoteza uelekeo na kuwafuata waenda kwa Miguu, Wafanyabiashara na Mabasi madogo ya Abiria...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanaume wanajali zaidi afya zao na wanapenda kutumia kinga wakati wa kujamiiana na ‘side chics’ kuliko wanawake wanapokuwa na starehe za kujamiiana na wanaume ambao hawajachumbiana nao wala...
1 Reactions
2 Replies
533 Views
Uamuzi huo unafuatia pendekezo lililowasilishwa na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) iliyotaka kuongeza Mishahara kwa Maafisa wakuu Serikalini kuanzia Mwezi Julai 2023. Ruto amesema suala...
0 Reactions
3 Replies
807 Views
Huyu Mwamba, mnamo mwaka 1982, alimfurusha Rais Moi Ikulu na akachukua nchi. Ilikuwa hivi!! Hezekiah Ochuka, alikuwa ni mwanajeshi wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Kenya. Inasemwa alikuwa ni...
10 Reactions
27 Replies
5K Views
Utawala wa Kenya chini ya Rais William Ruto umepata pigo kubwa baada ya mahakama kuu nchini humo jana Ijumaa Juni 30 kutoa amri ya kusitisha utekelezaji wa sheria mpya ya Fedha ya mwaka 2023...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa ufupi, hii ni aibu kwa taifa kubwa kama Tanzania, nchi yenye rasilimali chungu nzima, raia wanyonge ambao unaweza kuwa dhulumu utakavyo, nchi ambayo haijui njaa wala uchungu wa risasi za magaida.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika maamuzi yao yaliyotolewa na Jaji Muguru Thande wa Kitengo cha Katiba na Haki za Binadamu Milimani, mahakama imemzuia Waziri wa Fedha Njuguna Ndung’u na Mwanasheria Mkuu Justin Muturi na...
0 Reactions
4 Replies
899 Views
Rais wa Kenya William Ruto pamoja na Maafisa wengine wa Serikali akiwemo Naibu Rais, Makatibu wa Baraza la Mawaziri na Wabunge, wamepangiwa nyongeza ya mishahara ya hadi 14% katika kipindi cha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mamlaka ya Kilimo na Chakula (AFA) Nchini Kenya, imesema pamoja na Tozo hizo, pia matumizi ya Kanuni za Mazao ya Mirungi (Miraa) zilizochapishwa kwa mara ya kwanza Aprili 2023, zitaanza kutumika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Muswada huo uliopendekezwa na Mbunge wa Mbeere Kaskazini Geoffrey Ruku unalenga kudhibiti hali ambayo maandamano makubwa kote nchini yanaweza kufanywa. Kulingana na Ruku, muswada huo pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30)...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Idhinisho hilo sasa linatoa kibali cha kuanza utekelezaji wa Sheria katika ukusanyaji wa Kodi mpya zilizopendekezwa na Serikali zikiwemo Tozo ya 16% ya Mafuta kutoka 8% na makato ya 1.5% kwa kila...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa usalama wa ndani Professor Kithure Kindiki, kupitia gazeti rasmi la Serikali ametangaza Jumatano ya tarehe 28 Juni 2023 kuwa Siku ya mapumziko kwa ajili ya kuadhimisha Eid-Ul-Adha.
1 Reactions
4 Replies
791 Views
Ripoti iliyotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Kenya imefunua ufisadi mkubwa, udanganyifu, na utendaji mbovu katika kampuni za maji na usafi unaofanyika katika mikoa mbalimbali. Ripoti hiyo...
1 Reactions
2 Replies
660 Views
Mwanamke mmoja wa Kajiado amechoma moto nyumba yake wakati akiwemo ndani, uliosababisha vifo vya watoto wake wawili, wenye umri wa miaka 2 na 10, baada ya kugundua kuwa Mumewe ameongeza Mke wa 2...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rostam Aziz speaks out on the difficulty of Tanzanians investing in Kenya WEDNESDAY MAY 05 2021 Mr Rostam Aziz in an interview with BusinessWeek PHOTO|SYRIACUS BUGUZI Summary Rostam was...
22 Reactions
120 Replies
17K Views
Rais wa Kenya ndugu Ruto akimpa makavu bwana Emmanuel rais wa Ufaransa.
2 Reactions
6 Replies
681 Views
Back
Top Bottom