Katika hotuba nzito na yenye sera nzito ya kuimairisha EAC in ya leo ya Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta.
Sasa kwa wanajumuiya ya EAC ni kitambulisho cha uraia kinatosha kuishi, kufanya kazi...
ASKOFU ASILIMU KENYA NA WAFUASI WAKE, AGEUZA KANISA LAKE KUWA MSIKITI
Habari zilizotufikia kutoka Kenya, Askofu Charles Okwany ambaye baada ya kuichagua dini ya Kiislamu kuwa mwongozo wake wa...
Kijana wa miaka 25 kutoka Baringo Kaskazini ajiua kwa kunywa sumu baada ya Kaka yake kuuza Mbuzi wake 8 bila ya idhini yake.
Kipkemei Tobero amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti...
Jana wakati Uhuru Kenyatta anaapishwa kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi kingine, uwanja wa Kasarani ulikua umejaa pomoni. Lakini imebainika kuwa wengi wa waliohudhuria waliletwa kutoka nje ya Nairobi...
Mheshimiwa Rais Magufuli ambaye anatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa viongozi raia wa Kenya wanapenda sana kumuona.
Kwa kipindi cha miaka 2 ya...
“As a mark of our continued commitment to you, our Brothers and Sisters in the East African Community; from today, you will be treated like Kenyans. Like your Kenyan brothers and sisters, you will...
Why Benjamin Netanyahu is no-show at Kasarani, Nairobi
Tuesday November 28 2017
Despite being invited and confirming his attendance, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has not attended...
Itifaki ya soko la pamoja la Afrika Mashariki ambayo imeridhiwa na nchi zote sita wanachama, inatoa uhuru wa wananchi (ajira), fedha, huduma na bidhaa kuhama au kuhamishwa kutoka nchi moja kwenda...
I know many threads zimeshafunguliwa about this in Tanzanian forums ila niliona niwaletee habari hii ndugu zangu wakenya.
Karibuni Bongo mpate world class services!
Can accomodate over 570...
Rais Kenyatta amewakaribisha watanzania na wengine katika jumuia ya afrika mashariki kwenda Kenya kuchumbia wasichana (kumiliki ardhi) na kuoa huku akijua kuwa wasichana wote wa Kenya...
Kenya traders on Taveta border complain of harassment by Tanzania authorities
By Renson Mnyamwezi
Published: Nov 26th 2017 at 12:49, Updated: Nov 26th 2017 at 12:50
Traders carry on their...
kenya kuna upungufu mkubwa wa madaktari na wanasheria.
Tukumbuke kuwa kama wewe ni mwanasheria kutoka taifa lolote la jumuia ya afrika mashariki basi una haki ya kuhotubia kotini kule.
Na kuna...
Habari zimejitokeza kwamba polisi wengi wamewekwa doria kwenye maeneo ya Namanga ili kuwakabili vijana wa kimaasai waliokua wanataka kumzuia Magufuli asiingie Kenya kuhudhuria kuapishwa kwa rais...
Polisi wamefanikiwa kurejesha kiasi cha Kshs milioni 17 ambazo zilikuwa ni kati ya milioni 50 zilizoibwa kwenye benki ya Kenya Commercial Bank tawi la Thika Novemba 20
Polisi walifanikiwa...
Kama kweli nchi yenu imekua ya viwanda kama jinsi huwa mnatuaminisha, nawaomba hili jipu mlitumbue pia, maana hawa ni ndugu zenu wanateseka sana na wanendelea kuongezeka kila uchao, wanaletwa huku...
Vurugu kubwa zinaendelea manyanja road wakati Laila akihutubia, mabomu ya kutoa machozi yanaendelea kurindima
===============================
-Wafuasi wa Laila wanapigwa virungu na kutawanywa...