Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Polisi wanapambana kudhibiti sala zilizopangwa na wafuasi wa upinzani (NASA) katika viwanja vya Jacaranda huko Embakasi, Nairobi Polisi walirusha mabomu ya machozi kila mahali ikiwa pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa rasmi hii leo,kwa muhula wa pili mjini Nairobi katika uwanja wa Kasarani Serikali imesema viongozi 20 wa mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Viongozi waliomzunguka wamekua kwenye mstari wa mbele kumshinikiza akubali kuapishwa kama rais wa nchi, lakini leo kwenye kongomano, amekatalia mbali hilo wazo akisema kwamba ni kosa la uhaini na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msichana huyu alizawadiwa KES 100,000/TSH 2,000,000 Na Albinism Society of Kenya. Walimuahidi kuwa watalipa karo ya shule hadi atakapofika kidato cha nne. Ako sawa kujieleza kweli
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Wakati Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Kenya Jumanne ya wiki ijayo, Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) nchini humo pia umetangaza kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa Rais wa taifa...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Thinking aloud will police batter NASA Uhuru Park while Uhuru is sworn in Kasarani? Umoja na amani iwe ngao yetu.
0 Reactions
4 Replies
767 Views
Jeshi la polisi la Tanzania lakanusha kuwakamata usalama wa taifa wa kutokea Kenya wanaosemekana kumfuata Raila hadi Tanzania...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
NSSF scales down Hazina Towers to 15 floors instead of 39 By Macharia Kamau Published: Nov 24th 2017 at 22:17, Updated: Nov 25th 2017 at 00:21 Nakumatt Lifestyle along Morktar Daddah Street...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Economically, according to the EAC's national budgets announced in jully this year with Kenya in march, the total Tanzanian and Ugandan budgets equals to the Kenyan one. Tanzania (30.75tr Tsh) +...
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Mbunge wa Jimbo la Starehe, Charles Kanyi (Jaguar) amethibitisha taarifa za gari lake kupata ajali Jumapili ya leo. Asema walinzi wake binafsi pamoja na dereva wajeruhiwa na wanaendelea na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mamlaka ya mawasiliano ya Kenya, imetangaza kupigwa marufuku kwa upeperushaji wa matangazo ya moja kwa moja wa mikutano ya kisiasa, katika kile ilichokiita “kusaidiA kupunguza hali ya taharuki...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani NASA nchini Kenya, Raila Odinga, amerejea nyumbani baada ya kujichimbia kwa siku nne Zanzibar nchini Tanzania. Mwanasiasa huyo ambaye amegoma kuutambua ushindi wa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Katika orodha ya wageni waalikwa wamo Cyrus Jirongo (Joseph Momanyi); Michael Wainaina (Miriam Mutua) na Odinga na mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka. Nairobi, Kenya. Rais Uhuru Kenyatta...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Majambazi watoboa ofisi ya Benki ya KCB tawi la Thika na kuiba kiasi cha Shilingi za Kwenya Milioni 50.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Shirika la fedha duniani (IMF) limetoa wito kwa serikali ya Kenya kuchukua hatua za dharura kudhibiti ongezeko la deni la kitaifa ambalo sasa linakadiriwa kukaribia asilimia 60 ya pato la taifa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali tabia ya baadhi ya vijana kuvaa mavazi yasiyo ya heshima na kutoa mwito kwa serikali ya Kenya kuiga mfano wa Uganda ambayo inashinikiza mavazi ya heshima...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Uganda, Tanzania inaugurate EACOP [http://www] Uganda, Tanzania inaugurate EACOP Thursday, Nov 23, 2017 Uganda and Tanzania last week marked their commitment to the East Africa Crude Oil...
2 Reactions
0 Replies
678 Views
Mamlaka ya Usalama wa Uchukuzi nchini Kenya NTSA imependekeza adhabu mpya miongoni mwa madereva walevi. Madereva walevi sasa watalazimika kufanya kazi katika vyumba vya kuhifadhia maiti ili...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na vurugu za Kisumu ambapo kila wakiandamana huwa wanafanya vituko vya kila aina ikiwemo kuchoma moto biashara za watu na magari na uporaji. Lakini hata hapa Nairobi huwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom