Kenya Airways stop flights to Hong Kong, Hanoi
Thursday September 28 2017
KQ is reeling from poaching of staff, mainly pilots and engineers, by the Gulf carriers who dangle huge pay...
KENYA: Watoto wanne wamefariki dunia baada ya Lori kuacha njia kisha kugonga nyumba waliyokuwemo. Mtoto mmoja alazwa kwa matibabu.
Majruhi huyo amelazwa katika Hospitali ya Akidiva,Lori hilo...
Alikwenda kule Tanzania kuhudhuria kongomano la majaji na pindi alipoingia eneo husika, wote waliokuwemo wakamshangilia na kumpa pongezi nyingi kwa uthubutu wake Kenya.
Chief Justice David...
Today, we are launching our Ksh 20 bn iconic mixed-use development in Kilimani, #CytonnTowers , a fusion of creativity & innovation. The development is expected to be Nairobi’s premier Business...
Aisei urais ni uvumilivu, yaani binafsi hata nikibembelezwa siwezi kuthubutu kuusaka maana nitaishia kuua raia wangu. Mtu unitukane 'mtoto wa mbwa' halafu uendelee kupumua wakati nina mamlaka ya...
Askari Polisi Stephen Mungai Kinuthia wa jimbo la Nakuru nchini Kenya, amemuuwa mkewe kwa kumpiga risasi kichwani na kisha kujiua mwenyewe mbele ya mtoto wao ambaye alishuhudia tukio zima...
Raila kiongozi wa chama cha upinzani NASA amedai serikali ya Kenya imewapiga marufuku yeye na mgombea mwenzake Kalonzo Kusafiri Kwenda nje ya Kenya. Ulinzi wa viongozi hao uliondolewa wiki iliyopita.
Public Works Principal Secretary Mariam El Maawy is dead.
Ms El Maawy died in South Africa, where she was undergoing treatment following an Al-Shabaab attack on July 13.
NEPHEW
Statehouse...
Siku tatu au nne zilizopita niliandika juu ya hulka isiyosawa ya Rais Kenyatta hasa baada ya kutenguliwa kwa uchaguzi wa wiki iliyopita.
Kenyatta si Mwanademokrasia ila Katiba ya Kenya ni ya...
September 2017
Nairobi, Kenya
David Opati Etale azungumzia uanajeshi wake Uingereza : Dira ya wiki
Mchezaji mpira wa kandanda nchini Kenya kwa jina David Opati Etale baada ya kuona mpira wa...
Uhuru naona ana sera kumzidi odinga na odinga anajiona msomi kumzidi uhuru. Ila kwa mimi siwezi mchagua odinga na muona msaliti na hafai uraisi labda uwaziri mkuu unamfaa maana ni mtu...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi ya Kenya, Maria El Maawy aliyeshambuliwa na Al-Shabaab amefariki dunia Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.
=====
Public Works Principal Secretary Mariam El...
Nchi ya Kenya ambayo ni majirani zetu wako katika vuta nikuvute ya uchaguzi baada ya uchaguzi wao kuingia dosari na kufutiliwa mbali na mahakama kuna maandamano yanayo endelea sehemu mbali mbali...
Ingawaje wengi hawaelewi lkn kama siyo uwepo wa D.Trump kama Raisi wa USA leo hii Kenya kungekuwa na fujo kama 2007, kinachomzuia Raila Odinga kulianzisha ni Support ya international Community...
Jubelee ni kweli Kila Kiashiri Kinaonyesha Waliingiza Fomula kwenye Server za IEBC ili kushinda uchaguzi wa Nane nane, Uliofutwa. Ila pia ni ukweli walifanya ujinga kwa kuongozwa na hofu kwani...
PLO LUMUMBA RESIGNS AS KENYA SCHOOL OF LAW DIRECTOR
PLO Lumumba has resigned from his position as Director of the Kenya School of Law (KSL) to pursue other interests.
The renowned lawyer...
Dodoma — Tanzania has been selected to be the center of African Liberation Heritage Programme that seeks to celebrate African's recent past in which Africans were the main agents of liberation and...
Kiongozi wa Nasa Raila Odinga ameishtumu polisi kuwa wana mpango wa kuwatishia upinzani baada ya kumuondolea ulinzi wa serikali
Walinzi wa Raila Odinga na wa mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka...
Hili tulitarajie, mahakama ya juu kabisa ikiwa na majaji saba ilitengua maamuzi ya tume huru isiyo na mipaka ya Kenya iliyomtangaza Uhuru Kenyatta mshindi. Mahakama iliona mapungufu katika...