Tume ya IEBC inakutana kwa mara ya kwanza tangu mahakama ya juu iagize marudio ya uchaguzi wa urais mnamo ijumaa wiki iliyopita. Ajenda kuu ya mkutano huo ni kutenga tarehe ya uchaguzi huo mpya...
Waziri wa afya Cleopa Mailu amethibitisha kuwa maafisa 50 wa polisi waliambukizwa maradhi ya kipindupindu na 47 kati yao bado wamelazwa kwenye hospitali kuu ya Kenyatta. Maafisa hao walikuwa...
Moto uliozuka katika shule ya upili ya wasichana ya Moi jijini Nairobi jumamosi asubuhi ulianzishwa kimaksudi na haikuwa ajali. Akihutubia wanahabari hivi leo, waziri wa elimu Dr Fred Matiangi...
Hold poll before October 17 to protect KCPE, KCSE candidates - Matiang'i
Education minister Fred Matiang'i has asked the IEBC to conduct the repeat presidential election a week before October 17...
Waziri wa Elimu, Fred Matiang'i amethibitisha kuwa mto uliosababisha kuungua kwa bweni katika Shule ya Sekondari ya Moi na kusababisha vifo vya wanafunzi 9 haikuwa ajali bali shambulio la...
Hii imekaaje?! Tume ya uchaguzi ya Kenya imekataa kuwaruhusu wataalm wa Odinga (NASA) kukagua computer yao kwa madai kuwa server yao iko Ulaya! Hii ni kinyume na amri ya Mahakama ya Rufaa...
Justice Maraga’s firm belief in God was evident in the courtroom as he started reading the court’s decision by affirming his fear of God.
“The greatness of any nation is determined by its...
Hayo ni maneno ya baadhi ya watu humu.
Kuwa eti kwa yeye kuacha watu waandamane bila kubugudhiwa basi ndo anakuwa mwanademokrasia kama rais Obama.
Bullshit.
Mwanademokrasia gani baada ya kesi...
Few hours after the Kenya Magistrates and Judges Association condemned the alleged attack on Chief Justice David Maraga by President Uhuru Kenyatta and his deputy, William Ruto, State House –...
BORIS IN BOTHER Boris Johnson slammed for praising a corrupt election in Kenya which has been dissolved
The Foreign Secretary congratulated President Uhuru Kenyatta on his re-election after a...
When the Supreme Court ruled AGAINST Raila Odinga in 2013, this is what he said:
“It is my hope that the incoming government will have fidelity to our When the Supreme Court ruled AGAINST Raila...
Two police officers were Sunday morning killed in an attack at the ACK church in Ukunda, Kwale County, Coast regional police boss Larry Kieng has said.
“We had an attack at the church where two...
Plans afoot to resuscitate ailing milk sector, increase production
LUDOVICK KAZOKA in Dodoma
03 September 2017
MILK production is set to increase from the current 2.1 billion to 4 billion...
leo hadi msemo "Kama kawaida" wengine wameubatiza "Kama kenya"
Uganda kumekuwa na Uchaguzi, umepita kimya...
Rwanda sijasikia hata kada au kamanda kagusa chigali kupiga promo.
Burundi hata...
Baada ya matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Kenya kutenguliwa, na mahakama kuamuru uchaguzi urudiwe ndani ya siku 60, wagombea mahasimu kwa maana ya Raila Odinga wa NASA na Na Uhuru Kenyatta wa...
Gazeti la Daily Nation linaandika kuwa maafisa kutoka serikalini na walikuwa wakiwafuatilia majaji waliokuwa wakisikiliza kesi juu ya matokeo ya urais ili kuwabadilisha mawazo juu ya hukumu...